carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mkuu naomba maana ya mwandu kikwenu maana mmhMwandu tu kumaliko
Mimi Mkuu nimekula, tena milo yote mitatu ila nikila natupia macho humu ili nicheke na kugawa LIKES tu.Ivi aleyn umekula kweli ww
nimekujaza na hiyo yanguNa me nakujaza
Baba mchungaji umepotea jukwaa,[HASHTAG]#inawezekana[/HASHTAG]
Jina zuri lisilo na kazi yoyote njema nyuma yake naweza kulifananisha na sabuni yenye jina zuri lakini isiyotakatisha hata leo ukiita komoa kesho ukaiita komesha keshokutwa ukaiita kiboko, rungu n.k kama haitakatishi ni bure kabisa ukitaka kuipa kibali shughulikia uwezo wake wa kutakatisha nguo au vyombo ili kazi yake njema iipatie jina jema.
Ndugu yangu shughulika na hakikisha una kazi njema zinazosimama nyuma ya jina lako zuri ili lifanyike kuwa jina jema.
Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; na Neema kuliko fedha na dhahabu. (Mithali 22:1)
Ihemi.Tosamaganga
tumekula likesMmekula!???
Kitu pekee ninachotamani ni kuwa huu uzi usipungue moto, uwe hivi hivi.Na ndio kwanza una siku tatu tu
Yaan zingekua ni hela watu wangetoana ngeu humuYaan ww ukichoka unajikata tu,humu kuna wenzio tangu juzi wanakesha nao.
WamechizikaHuu uzi umewafanya watu kushinda wanaupitia
Mkuu tusije tukaharibu uzi huu. Maisha ya pale yalikuwa ni ya kipekee.Unakumbuka kwanin ilikuwa inaitwa complex casino
EheeeWoyooo