Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
That's just KK being KK !!!Unakufa au?mbona unaaga sana?[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Nsamaka...hata kama unampenda usijionyeshe hadi nijue!!!hauwezi kumlilia kimoyo moyo? Mwache aende tu...Loh! Kichwa unaenda wapi? Usiondoke bhana tutakumis sana.
Inawezekana aisee kama huko Marekani naskia unaweza kutana na baunsa mbavu sura ya kazi. Afu unaambiwa shoga watu wanamtembezea moto, sembuse al watan kuwa kirangaUnajua wengi baada ya ukimya wake walianza kumtafuta huyu jamaa.
We nenda vizuri kafatilie mambo yake.
Mkuu karibu tena ulipotea wapi
Ana mapengo nimegunduaThat's just KK being KK !!!
Watamu haoEnsenene!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakufa au?mbona unaaga sana?[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]