Kwanini tena?Hapa nacheza viduku vya hatari
Hatujuani,nahisi napoteza rafikiTukumbuke kuwakibisha wageni tu mkuu.
Usisahau ilo mjomba maana watu huwa wanajisahau na stori zao.
Kuemdeleza upendo na uzi wa kila mtu mjomba wangu.
Mjomba mi kweli nasepa.
Usisome kabisaKwanza hapa najilazimisha tu kusoma post zako
HahahahaNumba ndiyo nini Madame? 🙂🙂
True!Hakuna biashara rahisi
[emoji23][emoji23][emoji23]usini qoute bhana sitaki ujue[emoji23][emoji23]
Hii kufuru hii