Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakukumbuka kwa picha hii ulivyo jitahidi kujificha ili carba na Cole wapite[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kwanza nilikuwa sitaki kukuaga kabisa maana napoteza mda heri nitapanda mti mda wa kukwambia kwaheri.Aaagrrr sitaki kuagwa mimi...ukija na ID nyingine nitafute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ila serious whats up?nini mbaya?bi mkubwa karudi nini unarudisha simu?[emoji23][emoji23][emoji23]ila nitamiss uwepo wako[emoji22][emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wananitishia amanii..
Ni vurugu mechi. Mashuleni huko wanajadili eti majikedume yatumie bafu la me au ke? Vipi kuhusu madumejike? Konfyuzidi sosayati!
Mkuu vipi tenaKwanza nilikuwa sitaki kukuaga kabisa maana napoteza mda heri nitapanda mti mda wa kukwambia kwaheri.
Mambo mengine tu ila nitarudi usihofu.
Kwanza nimepoteza mda kukujibu sitaki usome hapa.
Usinitaje taje najing'ata huku[emoji1][emoji1]Mueleze carbamazepine huyu
Huyu AG itabidi aachie ngazi tu hakuna namna. Hakuna cha kuwa loyal wala nini. Ndo siasa hizo!