Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Na kujilike mwenyewe ndo kitu cha muhimu kuliko vyote. Na kwa vile unajilike basi kamata likes...Mimi mwenyewe najilike
Babe S. Unakwenda wapi. Subiri angalau for 10 minutes...Jamani mpaka wakati mwingine! Arios!!!
Nakulike ya mwishoMimi sitaki tena LIKES
Wala. Nagawa likes mpaka vidole vinatetemeka. Au unaongelea uchoyo gani?Shimba nimekushtukia sasa hivi umeanza uchoyo
Sio kweliCameroon 0 vs chile 0 dakika ya 70
Kama kawaTupo
Mamaaa upoSingular; usiku mwema
Plural; usiku mwemeni
Logically yes. Kiuhalisia no...Singular; usiku mwema
Plural; usiku mwemeni
Acha maneno mengi weka like tu[HASHTAG]#inawezekana[/HASHTAG]
Jina zuri lisilo na kazi yoyote njema nyuma yake naweza kulifananisha na sabuni yenye jina zuri lakini isiyotakatisha hata leo ukiita komoa kesho ukaiita komesha keshokutwa ukaiita kiboko, rungu n.k kama haitakatishi ni bure kabisa ukitaka kuipa kibali shughulikia uwezo wake wa kutakatisha nguo au vyombo ili kazi yake njema iipatie jina jema.
Ndugu yangu shughulika na hakikisha una kazi njema zinazosimama nyuma ya jina lako zuri ili lifanyike kuwa jina jema.
Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; na Neema kuliko fedha na dhahabu. (Mithali 22:1)
Acha kusimanga wenzio. Kamata likes...Kuna jamaa ndio hawatoki hapa kwa kukodolea like