Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
πππ€£π€£π€£Natafuta mchumba...
Awe anapenda kusoma vitabu sanaa.
Elimu kuanzia Form 4.
Kazi sijachagui
Kabila asiwe wa Kanda ya Ziwa.
Kipaombele Mchaga.
Umri kuanzia 35.
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja upendeleo awe mtoto wa kike akiwa wakiume sio mbaya japo wakiume akiwa sio mtoto wako akiwa mkubwa unawesa dundwa ukimzingua mama ake bahati mbaya.
Rangi yeyote japo mweupe napendelea.
Mimi nina kazi serikalini am Dervoced.
Umri wangu 34.
Mrefu pia mchaga.
Ninae ishi Morogoro
Upoi wala uboiNimefanyaje jaman
ππππππππUpoi wala uboi
ππππππππ
Mungu akujaalie upate MKE MWEMAβοΈ Ni kijana Mpole, mtulivu na Mwenye hofu ya Mungu.
βοΈ Umri ni miaka 31.
βοΈ Ni Mtanga/Lushoto
βοΈ Dini Muslim
βοΈ Naishi Dar/ mbezi
βοΈNimejiajili ufundi Magari
βοΈ Sijawahi kuoa na Wala Sina mtoto
βοΈ Nahitaji Mchumba mwenye Heshima zake, Mvumilivu, Mwenye hofu ya Mungu. Tukamilishe Ibada.
βοΈ Awe na Umri 25-28
βοΈ Awe na stara
βοΈ Dini yeyote
βοΈ Awe na kazi asiwe nayo ni sawa tuu.
βοΈ Asiwe mrefu sana.
Nipo serious Kwa aliyetayari
Ahsanteni subra ni Ibada ..π
Kwann hutaki mchaga πππAje pm
Wa kiume mrefu mweusi kiasi asiwe mwembamba
Awe anashughuli halali
Mimi si mnene si mwembamba
Si mweupe si mweusi
Elimu ndogo tu lakini naweza kujikimu
Nb. Usiwe mchaga
Naomba nikuulizeππππππππ
Yeah,niulizeNaomba nikuulize
Au basi πππππππYeah,niulize
Mdomo koma πππππππππYeah,niulize
ππππ€£π€£π€£πππHii ni balaaaMdomo koma πππππππππ
Ni hatari na nusu πππππππππ€£π€£π€£πππHii ni balaaa
Au nikutafitie mchumba utuliee π€£π€£Ni hatari na nusu πππππ
Mbona kama upo kwa kichwa cha me umejuaje...Au nikutafitie mchumba utuliee π€£π€£
π€£π€£ππ€£πππππππMashangazi watakuachia laanaMbona kama upo kwa kichwa cha me umejuaje...
Ila mi nataka mchumba awe kanizidi kama miaka 20 hvi...
Kiufupi ni mshangazi π
Hapana hiyo laana ingekua ni kweli basi sasa hivi ningekua chizi...π€£π€£ππ€£πππππππMashangazi watakuachia laana
ππππππ NJOO nikupe shangazi yangu ila huko around 70+ na hana meno mbeleHapana hiyo laana ingekua ni kweli basi sasa hivi ningekua chizi...
Sema tu wana kuwaga na masharti sana ila mi mzoefu sasa πππππππππππππππ
Mweeeeeh kuwa na huruma wewe .ππππππ NJOO nikupe shangazi yangu ila huko around 70+ na hana meno mbele
BADOUshampata ?