Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Natafuta mchumba...
Awe anapenda kusoma vitabu sanaa.
Elimu kuanzia Form 4.
Kazi sijachagui
Kabila asiwe wa Kanda ya Ziwa.
Kipaombele Mchaga.
Umri kuanzia 35.
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja upendeleo awe mtoto wa kike akiwa wakiume sio mbaya japo wakiume akiwa sio mtoto wako akiwa mkubwa unawesa dundwa ukimzingua mama ake bahati mbaya.
Rangi yeyote japo mweupe napendelea.
Mimi nina kazi serikalini am Dervoced.
Umri wangu 34.
Mrefu pia mchaga.
Ninae ishi Morogoro
😁😁🤣🤣🤣
 
Aje pm
Wa kiume mrefu mweusi kiasi asiwe mwembamba
Awe anashughuli halali
Mimi si mnene si mwembamba
Si mweupe si mweusi
Elimu ndogo tu lakini naweza kujikimu
Nb. Usiwe mchaga
 
✍️ Ni kijana Mpole, mtulivu na Mwenye hofu ya Mungu.
✍️ Umri ni miaka 31.
✍️ Ni Mtanga/Lushoto
✍️ Dini Muslim
✍️ Naishi Dar/ mbezi
✍️Nimejiajili ufundi Magari
✍️ Sijawahi kuoa na Wala Sina mtoto

✍️ Nahitaji Mchumba mwenye Heshima zake, Mvumilivu, Mwenye hofu ya Mungu. Tukamilishe Ibada.
✍️ Awe na Umri 25-28
✍️ Awe na stara
✍️ Dini yeyote
✍️ Awe na kazi asiwe nayo ni sawa tuu.
✍️ Asiwe mrefu sana.

Nipo serious Kwa aliyetayari
Ahsanteni subra ni Ibada ..🙏
 
✍️ Ni kijana Mpole, mtulivu na Mwenye hofu ya Mungu.
✍️ Umri ni miaka 31.
✍️ Ni Mtanga/Lushoto
✍️ Dini Muslim
✍️ Naishi Dar/ mbezi
✍️Nimejiajili ufundi Magari
✍️ Sijawahi kuoa na Wala Sina mtoto

✍️ Nahitaji Mchumba mwenye Heshima zake, Mvumilivu, Mwenye hofu ya Mungu. Tukamilishe Ibada.
✍️ Awe na Umri 25-28
✍️ Awe na stara
✍️ Dini yeyote
✍️ Awe na kazi asiwe nayo ni sawa tuu.
✍️ Asiwe mrefu sana.

Nipo serious Kwa aliyetayari
Ahsanteni subra ni Ibada ..🙏
Mungu akujaalie upate MKE MWEMA
 
🤣🤣😁🤣😁😂😂😂👐👐👐Mashangazi watakuachia laana
Hapana hiyo laana ingekua ni kweli basi sasa hivi ningekua chizi...
Sema tu wana kuwaga na masharti sana ila mi mzoefu sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
😂😂😂😂😂😂 NJOO nikupe shangazi yangu ila huko around 70+ na hana meno mbele
Mweeeeeh kuwa na huruma wewe .
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Hizi ndo laana sasa...
Yaan around 70+ kweli jamni.hata kama 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom