[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye CV imeletwa, hiyo tipwatipwa tetema umeuaa yani[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiniambie [emoji26][emoji849][emoji3][emoji848]. Sinampango wa kuacha photocopy duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala upadri nautoa wapi na ulevi huu.also nipo fit tu
Yaani wewe.Wala upadri nautoa wapi na ulevi huu.also nipo fit tu
[emoji16] ni maamuzi tu kama vile ukimua kua nae au kutokua nae [emoji3] sema kwa jamii ya kiafrica ni Jambo la kushtusha ila ni jambo la kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Au labda kwa vile I still miss her [emoji848]
Mi sigongi like ,nacomment kabisaa babesoon nakuja na barua ya maombi ya kumvuta ndani mdada mmoja
alie tayari agonge like
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki pm mm, huyo anachelewa atiMi sigongi like ,nacomment kabisaa babe
asante honeyMi sigongi like ,nacomment kabisaa babe
Jina: Arqam bin Ali Al Harthi
Ethnicity: Lebanese
Uraia: Mtanzania
Pesa:Ipo
Kazi: Usafirishaji na mduka kadhaa (magari kadhaa under my family company name)
Dini:Muslim
Makazi: Upanga, Dar es Salaam
Elimu: Bachelor of Business Admin....Univ of Cyprus
Umri: 32
Marital Status: Single
Tabia: A little bit mhuni....mtoto wa mjini.
Why single: Nilitaka kuoa mwanamke wa Kibantu mama akagoma bila sababu zenye mantiq. Nikasitisha kwanza. Wakati napanga niende naye na watu wenye busara wamshauri, amefariki. So room is open. Albaabu maftooh.
Mahitaji: Mwanamke wa Kirangi, Mbulu, fyoma, Nyaturu, Chagga, or makabila ya Kaskazini the likes of Wameru et al na Wanyiramba. Awe mweupe peeee, mrefu mwili wa wastani au mwembamba.
DM
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa fursaa😀😀 nakujaaa
aisee come on wtf is this nah!!Wazee wa fursaa😀😀 nakujaaa