Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Una matatizo ya kiafya au unataka kusomea upadre?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala upadri nautoa wapi na ulevi huu.also nipo fit tu
[emoji16] ni maamuzi tu kama vile ukimua kua nae au kutokua nae [emoji3] sema kwa jamii ya kiafrica ni Jambo la kushtusha ila ni jambo la kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Au labda kwa vile I still miss her [emoji848]
 
Yaani wewe.
Unahitaji msaada aisee..
Naomba baadaye unitafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaguzi kitu kibaya sana halafu nyinyi coloured wazazi wenu ndio huwa kikwazo
Jina: Arqam bin Ali Al Harthi
Ethnicity: Lebanese
Uraia: Mtanzania
Pesa:Ipo
Kazi: Usafirishaji na mduka kadhaa (magari kadhaa under my family company name)
Dini:Muslim
Makazi: Upanga, Dar es Salaam
Elimu: Bachelor of Business Admin....Univ of Cyprus
Umri: 32
Marital Status: Single
Tabia: A little bit mhuni....mtoto wa mjini.
Why single: Nilitaka kuoa mwanamke wa Kibantu mama akagoma bila sababu zenye mantiq. Nikasitisha kwanza. Wakati napanga niende naye na watu wenye busara wamshauri, amefariki. So room is open. Albaabu maftooh.

Mahitaji: Mwanamke wa Kirangi, Mbulu, fyoma, Nyaturu, Chagga, or makabila ya Kaskazini the likes of Wameru et al na Wanyiramba. Awe mweupe peeee, mrefu mwili wa wastani au mwembamba.

DM

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom