Take it easy babe, Chelewa Chelewa utakuta mwana si wako ohooo😀aisee come on wtf is this nah!!
i thought i could be alone baby why
it hurts a lot kwa kweli
Mkuu coca, you're always happy aisee, ma "emojis" kama yote "lol" ndyo usiseme duh, hivi ushawahi kununa kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol mweeeeh hatareeeeeh, ngoja ntacomment baadae, nachek kwan [emoji430] angu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sijakuona mkuu [emoji15]Wazee wa fursaa[emoji3][emoji3] nakujaaa
Jamoneeeeeh dear me sijuagi kununa eti, muda wote nakuwa happy tyuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu coca, you're always happy aisee, ma "emojis" kama yote "lol" ndyo usiseme duh, hivi ushawahi kununa kweli?
Duh na hiyo picha ni wewe huyo?Jamoneeeeeh dear me sijuagi kununa eti, muda wote nakuwa happy tyuuh, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wazazi tenaUmri bado kijana
Makazi dar
Naishi home kwa baba kwa yyte alie tayari aje tumkodishie chumba
yess BiShoo haswaaAaa
Wahenga kazi mnayoNatafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Jina:moj6
Umr:26
Education: degree ya med virology
Height:tallest man in Africa
Colour,'rangi ya kichaga
Natafuta demu aliyeopo S.A,marekani au Qatar
Awe mweupe,english figure ,under 30
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mie sihitaji
Ooh vizuri
Hapana mie sihitaji
Wewe endelea na search hapa utapata tu au uende usukumani tu