financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Unahitaji vigezo gani mkuu? Shusha hapa tujipime huenda kuna wanaofit ujue 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji vigezo gani mkuu? Shusha hapa tujipime huenda kuna wanaofit ujue 🤔
Nimeacha kuwa mkorofi siulizi tenaa😀😀😀Ulivyouliza sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh karibu, aiseeeJamani.
Nilikuwa nasubiri uje ndo basi tena umewahiwa.
Weka CV mkuuTatizo la watu kwenye huu uzi hawapo serious kabisa,
Masihara Mengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kwema?? Nakukumbusha siku tumeonana unaniuliza Mimi ndo na Nani maeneo ya River side, city porkNimeacha kuwa mkorofi siulizi tenaa😀😀😀
Usiwe mchagua sana, AngAlia wale wenye sifa zinazoendana au kukaribiana
Weka CV na location mkuuKuna nini hapa?
Mhhhh karibu, aiseee
Mmh, Haya poaWewe kwema?? Nakukumbusha siku tumeonana unaniuliza Mimi ndo na Nani maeneo ya River side, city pork
Bado natafuta Mkuu, maana Yule kapotea ghafla, kumbe alikuwa na mume wake alikuwa kasafiri alikuwa na kaupweke Tu, kameisha maana jamaa yake karudi akanichana na kunipa block wanawake hamuendi mbunguniNikaribie wapi? Umeshasema umepata au bado unatafuta?
Poa mkuu, nimejibu
Umenipata SASA?Mmh, Haya poa
HapanaUmenipata SASA?
Unapenda mama wa nyumbani mkuu? Duh
Mbinu za kibaharia tu hizo, mna wake zenu ndani huku mnakuja kujiliza upweke
Mbinu za kibaharia tu hizo, mna wake zenu ndani huku mnakuja kujiliza upweke
Sasa unataka unimiliki kwa namna ipi na ushakuwa babe wanguBabe niweke wasifu ?. Namaanisha ivi nifanye nn nipate kukumiliki kibonge wee