Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Siyo unataka utunange mkuu? Uje uachie picha zetu huku? Usituchore basi
Nawasilana na nafahamiana members wengi mkuu...Siko hapa kwa ajili ya udhalilishaji au kuomba picha...tuonane kwanza tuyajenge then mengine yafuate

Nikikutana na mtu kama sijamuelewa natafuta mazingira mazuri ya kumkataa kimya kimya lakini sio kumkimbia na kuja kupost jukwaani..

Hakika nitaleta mrejesho mzuri ...mrejesho ukiwa mbaya sitaupandisha jukwaani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Huwa siamini kama kuna upendo wa kweli umu wa kufikia ndoa. Matapeli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Facebook wanapendana na kufunga ndoa sembuse jamii forum..huku zipo ndoa nyingi zilizotokana na jf..tatizo letu ni kufikiria kila member ni mkamilifu..hiyo hupelekea kumuona mtu tofauti na matagemeo unayojiwekea kichwani pia watu kutokuwa wakweli nalo ni janga lingine

Kama vigezo vyangu Kuna member anavyo karibia vyote ila hajatia timu kwenye huu Uzi..akitokea sijui atakuja na vigezo gani sasa...ikitokea tumeelewana kweli kinachofuata ni safari ya maisha kuelekea kuwa mwili mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha ngoja aje, utuletee n ushuhuda mkuu. Tatizo mwngne nia yake anaijua yeye mwenyewe. Mkuu mi nakwambia sio wote umu ndani wana nia nzuri, wako wengi sana wana nia za ovyo. Ila pia wapo wachache wenye nia thabiti na wa kweli. Ilo sijalikataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…