Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaYaani huyu kaka yangu ana wake wawili lakini hapa ana lalama yuko single
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaYaani huyu kaka yangu ana wake wawili lakini hapa ana lalama yuko single
Hahahaha, fursa hii
Mkuu kama utapelea hapo inanibidi nifikirie mara mbili mbili kwa sababu napenda mikikimikiki na mke wangu mtarajiwa sio kila siku mwanaume ndio nakuwa na makosa..Ahaha hiyo kushindikana mtaani ndiyo umenifurahisha. Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kuandika hapa!Ila ni changamoto kwa kweli.Nini tatizo? Request zote za wadada humu hujaziona?
Au unachagua chagua sana
Mkuu vipi jimbo liko wazi mpaka sasa nitangaze nia..binti mweusi awe mfupi sihishiwi na hamu kwake kila siku anakuwa mpyaHatimaye wafupi weusi tumepata mkombozi.
Ila apo sina sifa ata moja, zote zimenipita. Nimeshakosa nafasi kwako kelvin ahaha.
Nashindwa kuandika hapa!Ila ni changamoto kwa kweli.
Mkuu vipi jimbo liko wazi mpaka sasa nitangaze nia..binti mweusi awe mfupi sihishiwi na hamu kwake kila siku anakuwa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaEmbu nidokeze pm hizo changamoto
Dua mkuu acha niendelee kuchekecha. .naamini nitaleta mrejesho mzuri niko serious katika hiliIla apo sina sifa ata moja, zote zimenipita. Nimeshakosa nafasi kwako kelvin ahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usiandike itatukatisha tamaa wenye mioyo midogo ...kupata mwenza sio kazi rahisi inahitaji maombi piaNashindwa kuandika hapa!Ila ni changamoto kwa kweli.
Usijali utampata tu mwenye sifa izo. We endelea kuchekecha. Wapo wengi mbonaDua mkuu acha niendelee kuchekecha. .naamini nitaleta mrejesho mzuri niko serious katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha mikiki mikiki mikiki kama ipi mkuu?Mkuu kama utapelea hapo inanibidi nifikirie mara mbili mbili kwa sababu napenda mikikimikiki na mke wangu mtarajiwa sio kila siku mwanaume ndio nakuwa na makosa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuandika mkuu hata iweje.we Ongeza juhudi.Mkuu usiandike itatukatisha tamaa wenye mioyo midogo ...kupata mwenza sio kazi rahisi inahitaji maombi pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa siamini kama kuna upendo wa kweli umu wa kufikia ndoa. Matapeli tu.Dua mkuu acha niendelee kuchekecha. .naamini nitaleta mrejesho mzuri niko serious katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilana na nafahamiana members wengi mkuu...Siko hapa kwa ajili ya udhalilishaji au kuomba picha...tuonane kwanza tuyajenge then mengine yafuateSiyo unataka utunange mkuu? Uje uachie picha zetu huku? Usituchore basi
Naamini wakuoa yupo huku ...Usijali utampata tu mwenye sifa izo. We endelea kuchekecha. Wapo wengi mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke asiyeishiwa maneno ,visa vya ugomvi havikauki mtaani,asiyepitwa na shughuli na anejua mikikimikiki kwenye uwanja wa taifa
Kwenye Facebook wanapendana na kufunga ndoa sembuse jamii forum..huku zipo ndoa nyingi zilizotokana na jf..tatizo letu ni kufikiria kila member ni mkamilifu..hiyo hupelekea kumuona mtu tofauti na matagemeo unayojiwekea kichwani pia watu kutokuwa wakweli nalo ni janga lingineHuwa siamini kama kuna upendo wa kweli umu wa kufikia ndoa. Matapeli tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha ngoja aje, utuletee n ushuhuda mkuu. Tatizo mwngne nia yake anaijua yeye mwenyewe. Mkuu mi nakwambia sio wote umu ndani wana nia nzuri, wako wengi sana wana nia za ovyo. Ila pia wapo wachache wenye nia thabiti na wa kweli. Ilo sijalikataaKwenye Facebook wanapendana na kufunga ndoa sembuse jamii forum..huku zipo ndoa nyingi zilizotokana na jf..tatizo letu ni kufikiria kila member ni mkamilifu..hiyo hupelekea kumuona mtu tofauti na matagemeo unayojiwekea kichwani pia watu kutokuwa wakweli nalo ni janga lingine
Kama vigezo vyangu Kuna member anavyo karibia vyote ila hajatia timu kwenye huu Uzi..akitokea sijui atakuja na vigezo gani sasa...ikitokea tumeelewana kweli kinachofuata ni safari ya maisha kuelekea kuwa mwili mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app