Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kila la kheri afadhali wewe ni expert member hujaja na id mpya.
Ngoja tuone na tusubiri mrejesho.
Usisahau kunitag
 
Nikuulize wewe una wawili lakini bado unajiita bachelor? Halafu siku hizi umekuwa mchoyo nilikuuliza ishu fulani kwa sms hukunjibu si, jui unataka nife njaa.
Hehehe kumbe ana wawili, alitaka kunidanganya hapa
 
Tena wake zake waarabu.
Wewe cheusi dawa kama mie nadhani huna nafasi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] daah Mungu anamuona jamani, nilishaanza kumpigia hesabu ujue [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Reactions: amu
Nikuulize wewe una wawili lakini bado unajiita bachelor? Halafu siku hizi umekuwa mchoyo nilikuuliza ishu fulani kwa sms hukunjibu si, jui unataka nife njaa.
ww usitake kunilaza njaa mwenzio nikazeeka na huu ubachelor bhana,hao wawili wako wapi??

Kama ulinitafuta tofauti na Voda aisee hiyo mitandao mingine kasimu kake naweza kukasahau hata wiki sijakashika,so issue yoyote serious nitafute kwenye voda hiyo mitandao ya wanafunzi waachie wenyewe.

Halafu hebu km vp nisaidie kuweka CV hapa nipate mke mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…