Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah utampata mkuu wa namna iyo. Kwa kuwa umeshajikamilisha kuwa utamuhandle vipi. Basi subria matokeo tu.Mwanamke asiyeishiwa maneno ,visa vya ugomvi havikauki mtaani,asiyepitwa na shughuli na anejua mikikimikiki kwenye uwanja wa taifa
Kiufupi sipendi mwanamke mpole napenda awe mcharuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke asiyeishiwa maneno ,visa vya ugomvi havikauki mtaani,asiyepitwa na shughuli na anejua mikikimikiki kwenye uwanja wa taifa
Kiufupi sipendi mwanamke mpole napenda awe mcharuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilana na nafahamiana members wengi mkuu...Siko hapa kwa ajili ya udhalilishaji au kuomba picha...tuonane kwanza tuyajenge then mengine yafuate
Nikikutana na mtu kama sijamuelewa natafuta mazingira mazuri ya kumkataa kimya kimya lakini sio kumkimbia na kuja kupost jukwaani..
Hakika nitaleta mrejesho mzuri ...mrejesho ukiwa mbaya sitaupandisha jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Dua mkuu...mpaka sasa umejiweka karibu na mchinjaji lazima damu ikurikieKila la kheri afadhali wewe ni expert member hujaja na id mpya.
Ngoja tuone na tusubiri mrejesho.
Usisahau kunitag
Sio muongeaji hivyo natafuta wa kuchukua nafasi hiyoMkuu wewe utakuwa mnene sana.
Naona unatafuta stress ili upungue.
Vipi mkuu wewe umeshapataAhahah utampata mkuu wa namna iyo. Kwa kuwa umeshajikamilisha kuwa utamuhandle vipi. Basi subria matokeo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah lazima imrukie....wajanja wengi umuDua mkuu...mpaka sasa umejiweka karibu na mchinjaji lazima damu ikurikie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie ata bado muda wa kumuhutaji mtu haujafika. Ukifika basi nitaweka mkuu.
Hehehe kumbe ana wawili, alitaka kunidanganya hapaNikuulize wewe una wawili lakini bado unajiita bachelor? Halafu siku hizi umekuwa mchoyo nilikuuliza ishu fulani kwa sms hukunjibu si, jui unataka nife njaa.
Hehehe kumbe ana wawili, alitaka kunidanganya hapa
[emoji23][emoji23][emoji23] daah Mungu anamuona jamani, nilishaanza kumpigia hesabu ujue [emoji85][emoji85][emoji85]Tena wake zake waarabu.
Wewe cheusi dawa kama mie nadhani huna nafasi [emoji23][emoji23]
Utaweka humu ambapo huwaamini jf membersMie ata bado muda wa kumuhutaji mtu haujafika. Ukifika basi nitaweka mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ww usitake kunilaza njaa mwenzio nikazeeka na huu ubachelor bhana,hao wawili wako wapi??Nikuulize wewe una wawili lakini bado unajiita bachelor? Halafu siku hizi umekuwa mchoyo nilikuuliza ishu fulani kwa sms hukunjibu si, jui unataka nife njaa.
Asikudange ukanipiga teke bureeHehehe kumbe ana wawili, alitaka kunidanganya hapa