CV yako ndio hiyo, una wake wawili tena waarabu. Mweeh mwanaume wewe una zambiww usitake kunilaza njaa mwenzio nikazeeka na huu ubachelor bhana,hao wawili wako wapi??
Kama ulinitafuta tofauti na Voda aisee hiyo mitandao mingine kasimu kake naweza kukasahau hata wiki sijakashika,so issue yoyote serious nitafute kwenye voda hiyo mitandao ya wanafunzi waachie wenyewe.
Halafu hebu km vp nisaidie kuweka CV hapa nipate mke mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu wangu wa karibu hawezi kunidanganya aisee
Mamaaaaa!!! Yaani ww mi nikajua utakuwa mtetezi wangu kumbe ndo mvurugaji kabisa duh,Tena wake zake waarabu.
Wewe cheusi dawa kama mie nadhani huna nafasi [emoji23][emoji23]
Ss mm ndo nakwambia kakutania huyo km huamini basi.Hahahaha yaani huyu Amu kajua kunijambia hapa ni sawa kaniongezea ugumu wa kazi ss maana itabidi niwekeze nguvu pia kwenye utetezi wkt hizi ningezitumia kwenye ushawishi aaaghhhh!!!![emoji2][emoji2][emoji2]Huyu mtu wangu wa karibu hawezi kunidanganya aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] hata huwezi kujitetea ukaeleweka hizo nguvu ziwekeze kuwapenda wakezo tuSs mm ndo nakwambia kakutania huyo km huamini basi.Hahahaha yaani huyu Amu kajua kunijambia hapa ni sawa kaniongezea ugumu wa kazi ss maana itabidi niwekeze nguvu pia kwenye utetezi wkt hizi ningezitumia kwenye ushawishi aaaghhhh!!!![emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] daah Mungu anamuona jamani, nilishaanza kumpigia hesabu ujue [emoji85][emoji85][emoji85]
ww usitake kunilaza njaa mwenzio nikazeeka na huu ubachelor bhana,hao wawili wako wapi??
Kama ulinitafuta tofauti na Voda aisee hiyo mitandao mingine kasimu kake naweza kukasahau hata wiki sijakashika,so issue yoyote serious nitafute kwenye voda hiyo mitandao ya wanafunzi waachie wenyewe.
Halafu hebu km vp nisaidie kuweka CV hapa nipate mke mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Omayigodi ss niwekeze kuwapenda nisiokuwa nao???[emoji23][emoji23][emoji23] hata huwezi kujitetea ukaeleweka hizo nguvu ziwekeze kuwapenda wakezo tu
Ss mm ndo nakwambia kakutania huyo km huamini basi.Hahahaha yaani huyu Amu kajua kunijambia hapa ni sawa kaniongezea ugumu wa kazi ss maana itabidi niwekeze nguvu pia kwenye utetezi wkt hizi ningezitumia kwenye ushawishi aaaghhhh!!!![emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah na mijicho mikavuu kabisa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Weeeeeeee usinitie kwenye dhambi mie sitaki.
Pambana na wakezo
Hahahahahaha unajua nafurahi tu leo nimeamka mapema lisivyo kawaida yangu wkt nimelala saa11 ninemuota Khantwe.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Unajuta kunifahamu
Dah na mijicho mikavuu kabisa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ila hapa atayeamini inabidi akapimwe mkojo pengine atakuwa anavuta na bhangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mi nakuamini ndugu yangu hata siendiUsiende ndugu yangu niamini labda kama uwe mke wa watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushindane na waarabu waliojazia neema za Allah
Kabisaaaaa umemuamini huyo amu kuliko kuniamini mie muhusikaDaah mi nakuamini ndugu yangu hata siendi
Aisee nimeamua nimuamini yeye
Ungekuwa.karibu ningekupimanmkojo kwa kweli sio bureAisee nimeamua nimuamini yeye
Hahaha ndio sipo karibu sasa