Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

ww usitake kunilaza njaa mwenzio nikazeeka na huu ubachelor bhana,hao wawili wako wapi??

Kama ulinitafuta tofauti na Voda aisee hiyo mitandao mingine kasimu kake naweza kukasahau hata wiki sijakashika,so issue yoyote serious nitafute kwenye voda hiyo mitandao ya wanafunzi waachie wenyewe.

Halafu hebu km vp nisaidie kuweka CV hapa nipate mke mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
CV yako ndio hiyo, una wake wawili tena waarabu. Mweeh mwanaume wewe una zambi
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tena wake zake waarabu.
Wewe cheusi dawa kama mie nadhani huna nafasi [emoji23][emoji23]
Mamaaaaa!!! Yaani ww mi nikajua utakuwa mtetezi wangu kumbe ndo mvurugaji kabisa duh,

Hv unafurahia ndugu yako ninavyozeeka na huu ubachelor sio?

Sasa ngoja nitabadili Id nijiite Denzel Washington ili nianze tu upya maana wengi wananichukulia mm kinyume na wanapenda Id za kizungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu wangu wa karibu hawezi kunidanganya aisee
Ss mm ndo nakwambia kakutania huyo km huamini basi.Hahahaha yaani huyu Amu kajua kunijambia hapa ni sawa kaniongezea ugumu wa kazi ss maana itabidi niwekeze nguvu pia kwenye utetezi wkt hizi ningezitumia kwenye ushawishi aaaghhhh!!!![emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss mm ndo nakwambia kakutania huyo km huamini basi.Hahahaha yaani huyu Amu kajua kunijambia hapa ni sawa kaniongezea ugumu wa kazi ss maana itabidi niwekeze nguvu pia kwenye utetezi wkt hizi ningezitumia kwenye ushawishi aaaghhhh!!!![emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hata huwezi kujitetea ukaeleweka hizo nguvu ziwekeze kuwapenda wakezo tu
 
Usiende ndugu yangu niamini labda kama uwe mke wa watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushindane na waarabu waliojazia neema za Allah
[emoji23][emoji23][emoji23] daah Mungu anamuona jamani, nilishaanza kumpigia hesabu ujue [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Weeeeeeee usinitie kwenye dhambi mie sitaki.
Pambana na wakezo
ww usitake kunilaza njaa mwenzio nikazeeka na huu ubachelor bhana,hao wawili wako wapi??

Kama ulinitafuta tofauti na Voda aisee hiyo mitandao mingine kasimu kake naweza kukasahau hata wiki sijakashika,so issue yoyote serious nitafute kwenye voda hiyo mitandao ya wanafunzi waachie wenyewe.

Halafu hebu km vp nisaidie kuweka CV hapa nipate mke mie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Unajuta kunifahamu
Ss mm ndo nakwambia kakutania huyo km huamini basi.Hahahaha yaani huyu Amu kajua kunijambia hapa ni sawa kaniongezea ugumu wa kazi ss maana itabidi niwekeze nguvu pia kwenye utetezi wkt hizi ningezitumia kwenye ushawishi aaaghhhh!!!![emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiende ndugu yangu niamini labda kama uwe mke wa watatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ushindane na waarabu waliojazia neema za Allah
Daah mi nakuamini ndugu yangu hata siendi
 
Back
Top Bottom