Beki 3 ndio wazuri, mna sifa zote za kuhudumia nyumba
mi namuhitaji ila tu-bargain umri ashushe kidogo at most 27 😅😅Jamani nani anahitaji mke mwenye 32 yrs na kuendelea?
Nipo hapa mimiJamani nani anahitaji mke mwenye 32 yrs na kuendelea?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Umri _26
Elimu_Diploma
Sina mtoto
Dini _mkristo
Jinsia_ ME
Kazi mjasiliamali na mwanaharakati za kimaendeleo
Nipo Arusha, mwanamke ninaetafuta umri miaka 18hadi 22.awe black beuty au maji ya kunde,elimu yoyote.awe na akili ya biashara.nitampenda Kama ninavyompenda mama yangu,na hatajutia kuwa na Mimi. awe mwembamba na mwili wa kati
HakikaMliopata tupeni japo motivations jamani [emoji848]
Wema sepetu nahisi atakufaa maana ana 32.Jamani nani anahitaji mke mwenye 32 yrs na kuendelea?
Tongoza kwanza chuoni kwenu mpaka upate pisi usichoke sawaUmri20
Elimu bado nipo masomon diploma
Makazi Ausha
Natafuta Mpenzi
Umri wake 18-23
We wamsumi nakuomba njoo pm fasta nikuume skio mpendwaNahisi nikikupatia sehemu ya kukaa itakuwa mbali na eneo lako la kazi,mbezi msumi.
Mi nawivu sana mkuu kuwa mke wapili hapana acha nipite hivi[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]UMRI... 43 Yrs
Kazi.... TRA TMO
GARI... KLUGER V 2015
NYUMBA... NINAZO 5 ( DAR 2, MORO 1, MTWARA 2)
DINI... MUISLAM
MAKAZI YA SASA.. DODOMA
NAHITAJI MKE WA PILI..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sifa hapo zinanisukuma nije piemuJinsia: Me
Umri: 32
Elimu: wastani
Kazi: biashara
Mahali: morogoro
Wasifu usio rasmi: mrefu, mwili wastani, mweusi
Nahitaji
Jinsia: ke
Umri: 25-30
Elimu: diploma na kuendelea
Kazi: kujiajiri au kuajiriwa
Dini: mkisto
Sifa nyingine: mrefu kiasi
Aliye tayari anakaribishwa