Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Natafuta mwanamke wa kuwa na mahusiano nae.

*Nilikuwa na mke ila kwa sasa tumetengana

*nina mtoto 1

*Kipato changu cha kawaida sana(kidogo)

*Umri wangu miaka 30

*sichagui umri wala idadi ya watoto uliokiwa nao, kikubwa kupendana na kujali afvya ndo kitu muhimu sana maana dunia imebadilika sana

*mimi naishi Dar, gongolamboto.

.....*Karibu kwenye pm yangu*.....
 
Umri _26
Elimu_Diploma
Sina mtoto
Dini _mkristo
Jinsia_ ME
Kazi mjasiliamali na mwanaharakati za kimaendeleo
Nipo Arusha, mwanamke ninaetafuta umri miaka 18hadi 22.awe black beuty au maji ya kunde,elimu yoyote.awe na akili ya biashara.nitampenda Kama ninavyompenda mama yangu,na hatajutia kuwa na Mimi. awe mwembamba na mwili wa kati
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ni hivi:
1. Umri: 29
2. Dini muslim
3. Elimu: graduate
4. Kazi: muajiriwa

Sifa za mwanamke nimtakaye
Muislam
Above 18
At leat form 4
Mchapakaz,,kama hana kazi awe tayar kwa kuendesha biashara
 
Jinsia: Me
Umri: 32
Elimu: wastani
Kazi: biashara
Mahali: morogoro
Wasifu usio rasmi: mrefu, mwili wastani, mweusi

Nahitaji
Jinsia: ke
Umri: 25-30
Elimu: diploma na kuendelea
Kazi: kujiajiri au kuajiriwa
Dini: mkisto
Sifa nyingine: mrefu kiasi

Aliye tayari anakaribishwa
 
UMRI... 43 Yrs
Kazi.... TRA TMO
GARI... KLUGER V 2015
NYUMBA... NINAZO 5 ( DAR 2, MORO 1, MTWARA 2)
DINI... MUISLAM
MAKAZI YA SASA.. DODOMA
NAHITAJI MKE WA PILI..



Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nawivu sana mkuu kuwa mke wapili hapana acha nipite hivi[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Jinsia: Me
Umri: 32
Elimu: wastani
Kazi: biashara
Mahali: morogoro
Wasifu usio rasmi: mrefu, mwili wastani, mweusi

Nahitaji
Jinsia: ke
Umri: 25-30
Elimu: diploma na kuendelea
Kazi: kujiajiri au kuajiriwa
Dini: mkisto
Sifa nyingine: mrefu kiasi

Aliye tayari anakaribishwa
Kuna sifa hapo zinanisukuma nije piemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii siredi bado inapepea kumbe.

Mlioopoa 'pisi kali' leteni fidibaki.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom