Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri 25
Jinsia : ke
Elimu:University degree
Kazi: private lawyer
Location: Dar es Salaam

Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
Tulioishia la Saba B hatuna nafasi? 😅
 
NATAFUTA MKE

SIFA


1.
Akubali kuoelewa mitara

2.
Awe na uzazi wenye afya maana nitahitaji anizalie watoto saba 7 Nina mashamba mengi kijijini kwetu igowile hivo nahitaji nguvu kazi pamoja na kutii agizo la muheshimiwa rahisi la kufyetua

3.
Asiwe na ajira .na akubali kufanya kazi yeyote mfano kulima kwa kutumia ng'ombe,kuchunga mifugo yetu, kuuza maziwa ,kufeytua matofali pale mbaralali nina kamachine kangu.


4.
Elimu yeyote


5.
Kabila lolote

6.
Dini lolote


7.
Umri asiwe chini ya miaka 18 Mimi sio pedophile naomba ileweke iyo na asiwe cougar ,Milf , nakadhalika

8.
Na awe na chura
..na hichi ndo kigezo cha muhimu



Ni hayo tu
 
Umri : 30
Kazi: nimejiajiri
Elimu: chuo
Makazi : Dar
Dini: mkristo
Nyumba : ipo
Gari : lipo la maana tu!
Mahusiano: sijaoa

Nimtakae

Umri 18- 25

Umbo awe mfupi na asiwe mnene
Dini: mkristo
Elimu angalau: chuo
Awe ana kazi za kufanya
 
Age-24+
Gender-F
Job status-Employee
Personality-Introvert
Request-Seeking for a male friend, preferable a young civil engineer aging 26-30 years (i have 13 reasons why).
Natanguliza shukrani, Asante.
 

Duuuh mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mrembo usihangaike Jamani mie nipo natafuta mtu kama wewe, kitendo tu cha kusema chura kubwa sana ni mzigo nimeona tunaweza kuwa pamoja. Sifa zangu
Jinsia: Me
Dini : Mkristo
Urefu :1.62M
Umbo: Mwili wa kati
Elimu 😀egree moja tu
Ajira : Nimeajiriwa mipango ya kujiajiri ipo siku za usoni
Naomba uni pm tuyajenge hatutashindwana
Moyo wangu undunda tayari kabla hata hujani PM sijui ukini Pm nitakuwa furaha kiasi gani jamani jamani
Laaziz Njoo tuyajenge hatuwezi shindwana [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Khaa, hii CV editing ni hatari, utafanya wachumba wote waje kwako jamani, sisi wengine tutaponea wapi sasa[emoji12],miaka 18 una degree 2, ulianza kusoma ukiwa tumboni wewe.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu alianza kusoma akiwa bado ni shahawa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

financial services njoo PM babe tuyajenge.! Moyo wangu unakupenda wewe jamani
Love you mingi mingi [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Name: John Cornel

Age: 31

Residence: Nairobi & DAR


Current status: student

Looking for Girlfriend: Awe na hips na mnene.

My contact: +254781847643( WhatsApp)

+255714540040( WhatsApp).

Naomba unitext WhatsApp tu
 
Name: John Cornel

Age: 31

Residence: Nairobi & DAR


Current status: student

Looking for Girlfriend: Awe na hips na mnene.

My contact: +254781847643( WhatsApp)

+255714540040( WhatsApp).

Naomba unitext WhatsApp tu
Huyo girlfriend wa aje? Miaka mingapi?
 
Mie Wiser1, nahitaji mkaka wa kuburudika tu..story sana, akiwa na muda twende club, yan sitak nifikishe miaka 40 ndo nianze kuhangaika....aliyetayari aje PM.

Awe mrefu mweusi, mmasai atanifaa! Umri wake wowote tu ..ha ha ha haaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…