Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Bado natafuta Mkuu, maana Yule kapotea ghafla, kumbe alikuwa na mume wake alikuwa kasafiri alikuwa na kaupweke Tu, kameisha maana jamaa yake karudi akanichana na kunipa block wanawake hamuendi mbunguni
Mbavu zanguuuuu
 
Umri 25
Jinsia : ke
Elimu:University degree
Kazi: private lawyer
Location: Dar es Salaam

Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
Nipo pls dm ili tuyajenge pls
 
Mie Wiser1, nahitaji mkaka wa kuburudika tu..story sana, akiwa na muda twende club, yan sitak nifikishe miaka 40 ndo nianze kuhangaika....aliyetayari aje PM.

Awe mrefu mweusi, mmasai atanifaa! Umri wake wowote tu ..ha ha ha haaa
Uko pande zipi bibie?
 
Natafuta mchumba wa kuoa awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea pia awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato mm nimeajiliwa serikalini umri kuanzia miaka 24 mpaka 26
 
Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..
PM me.
 
Back
Top Bottom