The Machine114
Member
- Jan 1, 2020
- 78
- 92
Bado!Hivi humu bado tu hamjapatana???😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado!Hivi humu bado tu hamjapatana???😂
Endeleeni kuwa na subraBado!
Nimeshafika tafadhali....Natafuta mume.
Sifa awe anapumua tu nshachoka mie
Mbavu zanguuuuuBado natafuta Mkuu, maana Yule kapotea ghafla, kumbe alikuwa na mume wake alikuwa kasafiri alikuwa na kaupweke Tu, kameisha maana jamaa yake karudi akanichana na kunipa block wanawake hamuendi mbunguni
Nipo pls dm ili tuyajenge plsUmri 25
Jinsia : ke
Elimu:University degree
Kazi: private lawyer
Location: Dar es Salaam
Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
Uko pande zipi bibie?Mie Wiser1, nahitaji mkaka wa kuburudika tu..story sana, akiwa na muda twende club, yan sitak nifikishe miaka 40 ndo nianze kuhangaika....aliyetayari aje PM.
Awe mrefu mweusi, mmasai atanifaa! Umri wake wowote tu ..ha ha ha haaa
Uko pande zipi bibie?
Sasa mama la mama wewe above 35 ama? Kama below 35 pia sio mbaya unafaaWewe wa below 25 hunifai! Bado mtoto sana, hata hela sijui km unajua kuitumia. Kila la kheri kwa hao under 25
Sijui kwanini wanaume mnaogopaga kupima HIv?Naona vigezo vya kupima Afya havipewi kipaumbele na wengi! Anyway ...
Una generalize mambo, mimi ni mwanaume na bila kupima bado sijakubali kushiriki mapenzi! UKIMWI haupimwi kwa macho nduguSijui kwa nini wanaume mnaogopaga kupima HIv?
Mpaka leo hujapata mchumba bado?Zitakuwa ni laana za kunikataa![emoji28]Awe mzee tu
Hahahaa alitukataa wengi kumbeNilihangaika mwaka mzima ila alinikataa kabisa kisa anaringia chura ya kuvukia barabara aliyo nayo
Achana naye atakutafuta mwenyewe akishachuja ana mwaka mmoja tu. 😛Nilihangaika mwaka mzima ila alinikataa kabisa kisa anaringia chura ya kuvukia barabara aliyo nayo
ile chura ikishachuja simtaki tena![emoji28]Achana naye atakutafuta mwenyewe akishachuja ana mwaka mmoja tu. 😛
PM me.Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..