Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri: 25yrs
2. Dini mkristo
3. Elimu: graduate
4. Kazi: Idara nyeti

Sifa za mwanamke nimtakaye
Mkristo
Above 18
At leat form 4
Mchapakaz,,kama hana kazi awe tayar kwa kuendesha biashara

Mkuu mekuja
 
Natafuta mwanamke wa kuoa sifa zingine tutaongea sisi wawili
 
Natafuta sugar mammy, Yani ni miezi toka nipost sijawahi ata kuona pm. Inaonekana upatikanaji wao ni ngumu sana. Mwenye connection basi anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…