Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Umri: 25yrs
2. Dini mkristo
3. Elimu: graduate
4. Kazi: Idara nyeti
Sifa za mwanamke nimtakaye
Mkristo
Above 18
At leat form 4
Mchapakaz,,kama hana kazi awe tayar kwa kuendesha biashara
Mkuu mekuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri: 25yrs
2. Dini mkristo
3. Elimu: graduate
4. Kazi: Idara nyeti
Sifa za mwanamke nimtakaye
Mkristo
Above 18
At leat form 4
Mchapakaz,,kama hana kazi awe tayar kwa kuendesha biashara
Mdada wa kutaka kula raha tu ajitokeze,
Siangalii umri, kabila wala dini,
Kujeni wengi muwezavyo.
Duuuuh jomoneeeeeh mie ntakua MC wa kila harusi ya wadau kutoka humu.
Haya nimewakutanisha, kwa raha zenu mkajilie vitu laini laini tu hukoIvi kuna wanaumme wanaopenda mapenzi ya jinsia moja uku ??? Kama wapo itapendeza
Hutaki raha raha Bushbaby?Akuui staki
Linda.. Acha michepuko mpenziMkuu mekuja
Nataka lakini hizi wiki mbili siko katika mood kabisa. Nina mastresi kama yote love wangu🙁Hutaki raha raha Bushbaby?
Linda.. Acha michepuko mpenzi
Kujielewa aje mkuu? Kwani kuna ambao hawajielewi? Unataka awaje?Msichana mwenye kujielewa aje umr wangu 31 awe chin ya hapo 0712505049
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Duh basi nilitaka nije ila naona sitokufaa mkuu, maana hapa naandika nikiwa Disco mda huu. Kila rakheri.Kujielewa sio kuwaza disco tu na pombe kuelewa kua anaitaj maisha na mimi sio ndoa tu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kwenda disco ni udangaji mkuu? Haya bana ukikosa kabisa huko kwa wife materials karibu na huku piaHahaaa no asiwe mdangaji ila sirious i need wife
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Namimi naruhusiwa kukaribiaKwahiyo kwenda disco ni udangaji mkuu? Haya bana ukikosa kabisa huko kwa wife materials karibu na huku pia
Unataka kukaribia huku Disco mkuu? KaribuNamimi naruhusiwa kukaribia
Disco jionUnataka kukaribia huku Disco mkuu? Karibu
Aah haya karibu mkuu, leo tutakua maeneo ya Tabata, unapafahamu "kitambaa cheupe"Disco jion
Napafaham Sana mkuuAah haya karibu mkuu, leo tutakua maeneo ya Tabata, unapafahamu "kitambaa cheupe"
Basi karibu sana hapo😉Napafaham Sana mkuu
Ntakujuza nkifika mkuuBasi karibu sana hapo[emoji6]
Nakutania mkuu, usije ukaenda kweli😀Ntakujuza nkifika mkuu