Niache bhana staki kucheka kwanguvu kuna corona , [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],, nishawapata kama 5 hivi ile CV ingine ningejichelewesha aiseeeKhaa, hii CV editing ni hatari, utafanya wachumba wote waje kwako jamani, sisi wengine tutaponea wapi sasa[emoji12],miaka 18 una degree 2, ulianza kusoma ukiwa tumboni wewe.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna nimefurahi tu [emoji16][emoji16]Kwa hyo na ww huamini kama nina 18 yrs kisha degree 2 [emoji41]mbona unacheka [emoji29]
Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
Umri:34
Urefu: 6"
Rangi: pure Afican colour
Dini : mkristo
Kazi: Biashara
Ninachomiliki: Nyumba 3 self contained, gari 2, viwanja 2 na mashama 3.
Ninahitaji mrembo anizalie mtoto 1 na nitamkabidhi nyumba yake na shamba moja.
Nb: mkorofi apite mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 30, mume miaka 30
Miaka 30, mume miaka 30
Kwanini umeweka kigezo Cha mume miaka 30?
Unaninyima Fursa mkuu, Mimi Nina 28
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sijapata bado nisukumie mtoto wa maana kama yupo wa kunifaaa.
Jina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
Unatafuta mke na huna ajira duh!!, utamlisha nini?Umri: 28
Elimu: dgree
Kazi: sijapata
Location: dsm
Vigezo: mke age 20-25, mkristo
Contact: 0744854232 whatsap
Awe sereous
Si huo wa kusema unamuhitaji mwenye familia yenye uwezo, asa wasio na familia yenye uwezo ndg yng si utakuwa umewatenga, usikute ndy mwenye upendo wa kweli. Usibague mkuu
we ni mwenyeji darJamani natafuta sehemu ya kufikia jijini dar. nimepata kibarua cha kufanya lakini sina uwezo wa kupanga
umri wangu 29 y.o
sijaoa na sina mtoto
mwenyeji wa mkoa wa mwanza
naombeni msaada (samahani kama nimewakwaza au kuandika sehemu isiyohusika)
hapana kiongoziwe ni mwenyeji dar