Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Khaa, hii CV editing ni hatari, utafanya wachumba wote waje kwako jamani, sisi wengine tutaponea wapi sasa[emoji12],miaka 18 una degree 2, ulianza kusoma ukiwa tumboni wewe.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Niache bhana staki kucheka kwanguvu kuna corona , [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],, nishawapata kama 5 hivi ile CV ingine ningejichelewesha aiseee

Sent from my Infinix X559C using Tapatalk
 
Namimi nahitaji mwanaume wa kuzaa nae mtoto wa 2 maana nina mtoto mmoja.
Umri:34
Urefu: 6"
Rangi: pure Afican colour
Dini : mkristo
Kazi: Biashara
Ninachomiliki: Nyumba 3 self contained, gari 2, viwanja 2 na mashama 3.
Ninahitaji mrembo anizalie mtoto 1 na nitamkabidhi nyumba yake na shamba moja.
Nb: mkorofi apite mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina:Miminimama.
Umri:30.
Location😀SM
Dini😛entecoste.
Rangi:Black fulani hivi.
Si mnene si mwembamba.
Miminimama nina mtoto mmoja, natafuta mume miaka 30 na kuendelea awe amejiajiri au kuajiriwa.
Mimi nimejiajiri na ninajitegemea naishi mwenyewe na mtoto wangu.
Zaidi tujuane pm
 
KARIBU TUISHI PAMOJA TUFUNGE NDOA

Umri wangu 35 - 40.
Urefu wangu : 170 cm
Dini yangu: Roman Catholic
Elimu yangu : higher education
Kazi : mwajiriwa serikalini
Makazi: Mbeya mjini.
Nipo tayari kupima HIV pamoja na mtarajiwa wangu

ANAYEKARIBISHWA KWANGU

Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 33.
Awe na imani ya dini - dini yeyote
Awe na elimu kuanzia Kidato cha sita hadi masters au zaidi
Awe tayari kupima HIV pamoja
Asiwe mnene au kibonge ( awe na unene wa kati - no 8, au hata flat screen lakini anavutia)
Awe mfupi au mrefu poa tu hakuna shida.
Awe na nia ya dhati ya kuwa na mwanaume ambaye atakuwa mume wake na kuishi nae pamoja na kujenga familia.


NAMKARIBISHA MWANAMKE YEYOTE MWENYE SIFA TAJWA HAPO JUU, ZIKIWA HAZIJATIMIA ZOTE USIOGOPE NJOO PM TUZUNGUMZE PAMOJA.

KARIBU SANA.
 
Umri:27-30

Rangi:mweupe

Kazi:nimejiajiri

Elimu:degree holder/agriculture engineer by professional


Assets: nyumba tatu za kisasa nimezipangisha, hotel moja mwisho wa reli kigoma,bar kubwa tatu moja dar mbili Moro ambapo nalewa Mimi na kuwapa watu ofa
Mashamba matatu nalima na trekta mbili za kazi nakodisha

Gari zpo ila hautatumia hata kimoja nilichotaja sababu natafuta mmoja for breeding purpose tu [emoji3][emoji16]na Mimi nipate ka offspring maana sina hata wa kusingiziwa

Anaetafutwa

Awe na bonge moja la chura kama sanchi au kama hana awe nalo la kawaida kama mbunge poshy queen

Umbo size 8 kama model corazona wa Kenya black beauty flani kama warembo wa Sudan kusini atapewa kipaumbele mweupe sawa

Elimu :kidato cha nne kuna possibility ya kuendelezwa kama utaenda sawa na mkataba

Dini yeyote coz sina mpango na wewe Nina mpango na mtoto nikipata a beautiful daughter utapata a half of my unknown property according to mkataba na sahau kuhusu mtoto atakuwa sio wako tena ni wangu

















Bila shaka utakuwa umejichosha kweli kusoma nilichoandika mwenzako siko serious na nilichoandika hapo juu nilikuwa najaza komenti tuu huu Uzi umepoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
 
Umri: 30 yrs
Kazi: daktari
Elimu : degree
Location : singida
Dini : mkristo


Sifa za mke
Umri :24-35yrs
Kazi : yeyote tu halali
Elimu :kuanzia form 6 na kuendelea
Location : popote anapotoka
Karibuni
 
Jamani natafuta sehemu ya kufikia jijini dar. nimepata kibarua cha kufanya lakini sina uwezo wa kupanga

umri wangu 29 y.o
sijaoa na sina mtoto
mwenyeji wa mkoa wa mwanza

naombeni msaada (samahani kama nimewakwaza au kuandika sehemu isiyohusika)
 
Back
Top Bottom