Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Eneo lako la kazi ni wapihapana kiongozi
mkuu mimi nimesikia napangiwa mikocheni au ilala. sijajua exactly ni Dar sehemu gani.Eneo lako la kazi ni wapi
We jamaa unadhambi sana[emoji23][emoji23]Umri:27-30
Rangi:mweupe
Kazi:nimejiajiri
Elimu:degree holder/agriculture engineer by professional
Assets: nyumba tatu za kisasa nimezipangisha, hotel moja mwisho wa reli kigoma,bar kubwa tatu moja dar mbili Moro ambapo nalewa Mimi na kuwapa watu ofa
Mashamba matatu nalima na trekta mbili za kazi nakodisha
Gari zpo ila hautatumia hata kimoja nilichotaja sababu natafuta mmoja for breeding purpose tu [emoji3][emoji16]na Mimi nipate ka offspring maana sina hata wa kusingiziwa
Anaetafutwa
Awe na bonge moja la chura kama sanchi au kama hana awe nalo la kawaida kama mbunge poshy queen
Umbo size 8 kama model corazona wa Kenya black beauty flani kama warembo wa Sudan kusini atapewa kipaumbele mweupe sawa
Elimu :kidato cha nne kuna possibility ya kuendelezwa kama utaenda sawa na mkataba
Dini yeyote coz sina mpango na wewe Nina mpango na mtoto nikipata a beautiful daughter utapata a half of my unknown property according to mkataba na sahau kuhusu mtoto atakuwa sio wako tena ni wangu
Bila shaka utakuwa umejichosha kweli kusoma nilichoandika mwenzako siko serious na nilichoandika hapo juu nilikuwa najaza komenti tuu huu Uzi umepoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi nikikupatia sehemu ya kukaa itakuwa mbali na eneo lako la kazi,mbezi msumi.mkuu mimi nimesikia napangiwa mikocheni au ilala. sijajua exactly ni Dar sehemu gani.
Yani ni mm wa hapa mwenge sema vigezo vimenikosesha mumeUmri: 30 yrs
Kazi: daktari
Elimu : degree
Location : singida
Dini : mkristo
Sifa za mke
Umri :24-35yrs
Kazi : yeyote tu halali
Elimu :kuanzia form 6 na kuendelea
Location : popote anapotoka
Karibuni
Zama ndani ujaribu bahati yakoYani ni mm wa hapa mwenge sema vigezo vimenikosesha mume
nitashukuru sana mkuuNahisi nikikupatia sehemu ya kukaa itakuwa mbali na eneo lako la kazi,mbezi msumi.
umri mdogo??Yani ni mm wa hapa mwenge sema vigezo vimenikosesha mume
kutoka hapo home ni 500 mpaka mbezi mwisho,mbezi mwisho unachukua mwendokasinitashukuru sana mkuu
vipi gharama ya usafiri ikoje kutoka huko mpaka mjini?
nashukuru sana mkuu kwa msaadakutoka hapo home ni 500 mpaka mbezi mwisho,mbezi mwisho unachukua mwendokasi
[emoji23][emoji23][emoji23] hii kaliUmri miaka 45
Kazi: mzibua mitaro
Elimu: std 7
Naishi gamboshi shinyanga.
Nahitaji mwanamke miaka 14 to 18.
Awe mweupe peeee
Kabila asiwe mzaramo.
Elimu awe japo la saba.
Nimejenga nyumba mbili za miti.
Mwenye sifa stahiki naomba anifuate PM popote alipo nitamtumia nauli aje.
GOD is GOOD
haina shida,ila faida ambayo ungeipata ungeishi wewe na mlinzi kwenye eneo kubwa,cha muhimu ni usafi wa mazingira tu;ila kwa umbali wa wewe kwenda kazini ungechoka sana.nashukuru sana mkuu kwa msaada
kwa kweli niauhitaji ila naona kuna cost sana.
asante na ubarikiwe
Karibu mkuu vigezo vinalegezekaYani ni mm wa hapa mwenge sema vigezo vimenikosesha mume
haina shida,ila faida ambayo ungeipata ungeishi wewe na mlinzi kwenye eneo kubwa,cha muhimu ni usafi wa mazingira tu;ila kwa umbali wa wewe kwenda kazini ungechoka sana.
Lol [emoji28]Umri:27-30
Rangi:mweupe
Kazi:nimejiajiri
Elimu:degree holder/agriculture engineer by professional
Assets: nyumba tatu za kisasa nimezipangisha, hotel moja mwisho wa reli kigoma,bar kubwa tatu moja dar mbili Moro ambapo nalewa Mimi na kuwapa watu ofa
Mashamba matatu nalima na trekta mbili za kazi nakodisha
Gari zpo ila hautatumia hata kimoja nilichotaja sababu natafuta mmoja for breeding purpose tu [emoji3][emoji16]na Mimi nipate ka offspring maana sina hata wa kusingiziwa
Anaetafutwa
Awe na bonge moja la chura kama sanchi au kama hana awe nalo la kawaida kama mbunge poshy queen
Umbo size 8 kama model corazona wa Kenya black beauty flani kama warembo wa Sudan kusini atapewa kipaumbele mweupe sawa
Elimu :kidato cha nne kuna possibility ya kuendelezwa kama utaenda sawa na mkataba
Dini yeyote coz sina mpango na wewe Nina mpango na mtoto nikipata a beautiful daughter utapata a half of my unknown property according to mkataba na sahau kuhusu mtoto atakuwa sio wako tena ni wangu
Bila shaka utakuwa umejichosha kweli kusoma nilichoandika mwenzako siko serious na nilichoandika hapo juu nilikuwa najaza komenti tuu huu Uzi umepoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kila la heri !!!Baada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
mambo dearYani ni mm wa hapa mwenge sema vigezo vimenikosesha mume
Mkuu hyo avatar ni wewe?Umri 28
Kazi.chinga
Elimu.4m4
Eneo.Mwanza uhuru
Mwanamke nimtakae awe na sifa zifuatazo
1:mchoyo
2:Mwongo
3:mchawi
4:malaya
5:Mzurulaji
6:mvivu&mzembe
karbu pm mwenye sifa hizo
Sent using Jamii Forums mobile app