Habari za wasaa huu!
Hey Ladies and Gentlemens hapa nataka kila Me/Ke atoe location au codes mfano Useme hivi.
Mimi ni Me
Nipo Dodoma Mjini
Mtaa wa Area C near NAM Hotel
Au
Mimi ni Ke
Nipo Iringa Mjini
Mahali Kihesa
Toa na mtaa
Kama ni kijijini useme pia labda
Mimi Ke
Nipo Tanga Muheza
Sehemu Amani
Kijiji cha Ndole and so on
Toa taarifa muhimu watu watalike nakuja PM. Kama unatafuta mwenza aliye karibu yako hii itarahisisha. Mambo yatakuwa mepesi
Note: Hii ni kwa ajili ya watu wanamind distance wengine kumdate mtu yuko mtwara na yeye yuko Kigoma ni ishu kwa that distance matters