Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
nyavu zinaboreshwa kisasa zaidiHabari za wasaa huu!
Hey Ladies and Gentlemens hapa nataka kila Me/Ke atoe location au codes mfano Useme hivi.
Mimi ni Me
Nipo Dodoma Mjini
Mtaa wa Area C near NAM Hotel
Au
Mimi ni Ke
Nipo Iringa Mjini
Mahali Kihesa
Toa na mtaa
Kama ni kijijini useme pia labda
Mimi Ke
Nipo Tanga Muheza
Sehemu Amani
Kijiji cha Ndole and so on
Toa taarifa muhimu watu watalike nakuja PM. Kama unatafuta mwenza aliye karibu yako hii itarahisisha. Mambo yatakuwa mepesi
Note: Hii ni kwa ajili ya watu wanamind distance wengine kumdate mtu yuko mtwara na yeye yuko Kigoma ni ishu kwa that distance matters
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni ME
Nipo DUNIA
Mtaa wa A PLACE BETWEEN NO WHERE AND GOOD BYE.
#YNWA
hiz utambulisho zenu tutatumia kwenye uchunguzi, mmeshaoea kuficha ID[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wawili nyie wa mbeya city mtakuwa wa mfanoAise wakukajha wasalimu sana JB lodge, the governor, na bar zote zilizopo hapo.
Kutoka Geita mpaka rock city nauli ni elfu 5..
Ucjar mkuu npo njian[emoji1]Kutoka Geita mpaka rock city nauli ni elfu 5..
njoo chap kidogo tubadilishe upepo mtoto mzuri.
mi niko hapa Kisesa nasesa sesa michongo flani ya maisha
unakuja serious niandae mahali ufikie?π
Ucjar me mwnyejunakuja serious niandae mahali ufikie?[emoji41]
Sikuoni inbox
Namba ya sim?
Hali imefikia huku[emoji276]
Yajayo yanafurahisha!
unafika Shule ya Msingi?Mimi ni Ke
Miaka 26
Nipo Dsm, Makoka.