acrabill mack
Member
- Jul 21, 2021
- 8
- 2
tufanye ndo mm apa an tuyaweke sawaNahitaji yoyote anaepumua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tufanye ndo mm apa an tuyaweke sawaNahitaji yoyote anaepumua
Nimeku PMHivi wakuu vigezo vyangu hamjaviona?
WelcomeMiaka 30 mwanaume
Mbeya iwambi
0673922320
AiseeeeMwanaume.
Dar es salaam
Nina mwenza tayari
Nampenda sana.
Kila rakheri mkuu, hapo kwenye kuwa mke wa pili😒 je bi mkubwa amaridhia? Ama nďiyo ile atake asitake?Sina mambo mengi, mcha Mungu, Mjane, asizidi watoto wawili, umri usizidi 35, Muslim, sichagui Kabila wala rangi, Elimu yoyote, anichek in box! Awe tayari kupima afya, awe tayari kuwa mke wa pili.
Cv zangu.
Nna mke, watoto 4, umri 43, Elimu Masters, nipo serikalini pia mjasiriamali.
Njoo in box Kama tutaelewana in Sha Allah unaweza kuwa mke wangu wa pili.
Hakuna namna, sunna za Bwana mtume inabidi zitumike.Kila rakheri mkuu, hapo kwenye kuwa mke wa pili[emoji19] je bi mkubwa amaridhia? Ama nďiyo ile atake asitake?
Umri: 28yrs
Jinsia: Me
Kazi: Muwindaji
Kabila: Hadzabe
Makazi: Porini
Aliye tayari njoo PM
Siulinambia upo single....fursa hiyo mamaWanakuja mkuu[emoji23]
Siulinambia upo single....fursa hiyo mama