Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Sina mambo mengi, mcha Mungu, Mjane, asizidi watoto wawili, umri usizidi 35, Muslim, sichagui Kabila wala rangi, Elimu yoyote, anichek in box! Awe tayari kupima afya, awe tayari kuwa mke wa pili.

Cv zangu.
Nna mke, watoto 4, umri 43, Elimu Masters, nipo serikalini pia mjasiriamali.
Njoo in box Kama tutaelewana in Sha Allah unaweza kuwa mke wangu wa pili.
 
Kila rakheri mkuu, hapo kwenye kuwa mke wa pili😒 je bi mkubwa amaridhia? Ama nďiyo ile atake asitake?
 
Mimi wa kiume
Fundi wa umeme majumbani
Location: Mnanila Kigoma
msichana aliye wilaya jirani na mkoa huu tutafutane tujenge familia.
Awe mkristo au muislam kikubwa upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…