suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Umehamia huku tena 🤣🤣🤣🤣Wakuu kuna mliofanikiwa kupata humu?
Kumbe upo karibi hivyo...ngoja nije pm japo urafiki sio mbayaNiko Arusha.
Mwanaume mtanashati halafu awe anajishughulisha karibu PM.
Hata kwa ajili ya urafiki karibu PM, tupeane company[emoji179][emoji179]
Mzee wa mbususu achana na mimi😂😂😂Umehamia huku tena 🤣🤣🤣🤣
Wewe nakuachaje bwana....mtoto mrembo msomi accountant in the makingMzee wa mbususu achana na mimi😂😂😂
Mbona unashangaa? But you are welcome my friend[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
SawaZanzibar
Bure kabisa...😃😃😃Msiseme kubadilishana mawazo, semeni rafiki wa kike au wa kiume wa kuchakatana
PamojaDodoma , check me
SawaNipo dodoma mjini
Ngoja nirudie kuangalia vigezoMbona unashangaa? But you are welcome my friend
😂😂 Ok angalia vizuri tena.. IlaNgoja nirudie kuangalia vigezo
Khaa vimenishinda[emoji23][emoji23] Ok angalia vizuri tena.. Ila
kwasasa nipo dsm
😂😂Kipi kimekushinda? Ili ikiwezekana hiyo katiba tuifanyie marekebisho. .Khaa vimenishinda
Vyote[emoji23][emoji23]Kipi kimekushinda? Ili ikiwezekana hiyo katiba tuifanyie marekebisho. .
Duuuh 😲😲 haya sema we unavyo vipi ili turekebishe katibaVyote
Usibadili mkuu utapata wenye navyo, ila inaonekana unatafuta wa kula kimasiharaDuuuh [emoji44][emoji44] haya sema we unavyo vipi ili turekebishe katiba
Hahahahaha 🤣🤣 si kweli mkuu..Usibadili mkuu utapata wenye navyo, ila inaonekana unatafuta wa kula kimasihara
Ngoja niulize mkuuHahahahaha [emoji1787][emoji1787] si kweli mkuu..
Vipi unaishi mkoa gani mkuu?