Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Masu hapa aka m.a.s.u nipo Jeiefu

Naipenda sana nnji yangu

Yaan sihami ng'0!
 
Nipo Songea nahitaji rafiki wa Kike umri ni kuazia miaka 30-35 kama upo Songea njo pm fasta.
 
Natafuta rafiki/
Marafiki

Widower
Divorcee
Single
Separated

Why hizo sifa

( Sitaki kumkwaza mwanamke mwenzangu kwa mawasiliano yetu).

Umri kuanzia 38-45

Awe Dar es salaam


Mimi ni introvert....nahitaji kuongeza cycle of friends...

Vigezo na masharti kuzingatiwa

Ahsante
Sawa
 
✓Nina miaka 25
✓Nimwajiliwa
✓naitaji mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza naitaji ndoa

✓Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa
✓Awe mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
✓Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
Vp umeshapata[emoji848]
 
Umri: 35 yrs
Kazi: mfanyabiashara+ mtumishi
Elimu : degree + master in public health
Location : kimara (DSM)
Dini : Muslim
Sifa za mke
Umri :23-29 yrs
Kazi : awe nayo asiwe nayo ntamuweka sawa
Elimu : angalau kidato cha nne onwards
Location : popote anapotoka
Dini :yoyote ( kama mkiristo ndoa ya kiserikal itafuata mkondo)
Karibuni kwa wahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina dada yangu ni Doctor wa muhimbili , pia anajituma saa kwenye biashara zake anapika biryani, muislam nahisi atakufaa ana 29 yrs
 
Back
Top Bottom