LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
possible kuwa na degree mbili at that age japo ni wachacheKhaa, hii CV editing ni hatari, utafanya wachumba wote waje kwako jamani, sisi wengine tutaponea wapi sasa[emoji12],miaka 18 una degree 2, ulianza kusoma ukiwa tumboni wewe.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee pole sana[emoji17]niko low sana .Naomba someone matured jinsia yoyote, umri kuanzia 35 na zaidi nimsimulie ili nitoe nyongo ,maana namimi ni mtu mzima sana
hahaha financial services huwa nafurahia sana post zako, upo free sana dada yangu, Mungu atakufanyia wepesi utapataSijapata mkuu, au ndiye wewe I'm waiting for so long?😜
Ahsante sana mkuu 😘hahaha financial services huwa nafurahia sana post zako, upo free sana dada yangu, Mungu atakufanyia wepesi utapata
Kwa kweli haunaga baya na mtu Wal makasirio uko social sna mnyaki wetuAhsante sana mkuu [emoji8]
Ahsante kwa hii feedback mkuu😍Kwa kweli haunaga baya na mtu Wal makasirio uko social sna mnyaki wetu
Naomba nifate dm[emoji17]niko low sana .Naomba someone matured jinsia yoyote, umri kuanzia 35 na zaidi nimsimulie ili nitoe nyongo ,maana namimi ni mtu mzima sana
Umri wako,je?Natafuta rafiki/
Marafiki
Widower
Divorcee
Single
Separated
Why hizo sifa
( Sitaki kumkwaza mwanamke mwenzangu kwa mawasiliano yetu).
Umri kuanzia 38-45
Awe Dar es salaam
Mimi ni introvert....nahitaji kuongeza cycle of friends...
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Ahsante
bado yupo???Nina dada yangu ni Doctor wa muhimbili , pia anajituma saa kwenye biashara zake anapika biryani, muislam nahisi atakufaa ana 29 yrs
yupo ngoja nikutumie namba yake inboxbado yupo???
Duuh hi comment sikuionaWakuu kuna mliofanikiwa kupata humu?
[emoji2][emoji2]niko high now bossNaomba nifate dm
[emoji4]watu mpo straight sana mpaka kero ...ila usishangae kupata partner ambaye atasubiri ndoa, kumbe huna mpangoI am a man aged 35, separated, Looking for a female partner (not for marriage.)
Any interested woman PM me.
Nimependa hujataka kuongopeana kabisaI am a man aged 35, separated, Looking for a female partner (not for marriage.)
Any interested woman PM me.
Mpaka raha yani namna amenyooka[emoji4]watu mpo straight sana mpaka kero ...ila usishangae kupata partner ambaye atasubiri ndoa, kumbe huna mpango
KabisaaaMpaka raha yani namna amenyooka
Hakuna sabab ya kudanganyana, sababu mwisho wake hua ni kuumizana. Pia ukweli hufanya mtu kua huru kuamua vyema.Nimependa hujataka kuongopeana kabisa
Ni kweli mkuuHakuna sabab ya kudanganyana, sababu mwisho wake hua ni kuumizana. Pia ukweli hufanya mtu kua huru kuamua vyema.