Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri 34
Kazi mtumishi wa uma
Makazi dar
Sifa za mke
Muislam
Awe mwembamba
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] siwataki

aah, nlitaka kuja, anyway maana friends siku hizi wako in short supply especially kwa mtu kama mm ambae i hate people(that was a joke..a bad one, no it wasn’t) see what i mean [emoji25]
 
Mwanamke wa kiislam mwenye mwonekano na umbo zur naitaji kumuoa umri wake kuanzia 18 -30 awe na kazi kama hana awe na upeo wa kufanya biashara asie zaa
 
Back
Top Bottom