Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mimi ni mwanaume
Miaka 27
Naishi gongo la mboto
Dini muislamu
Nahitaji rafiki wa kike
 
Naitwa Mr Komba
Nipo Mpitimbi
Wilaya ya Songea, halmashauri ya Songea vijijini.
Nimkulima na mjasiriamali.
Karibuni Sana Songea vijijini
 
Back
Top Bottom