Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Daaah .... Nimeachwa aisee Sina ham ..naumia jmn ngoja ya wakute..
 
Mimi ni mwanaume
Miaka 27
Naishi gongo la mboto
Dini muislamu
Nahitaji rafiki wa kike
 
Naitwa Mr Komba
Nipo Mpitimbi
Wilaya ya Songea, halmashauri ya Songea vijijini.
Nimkulima na mjasiriamali.
Karibuni Sana Songea vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…