Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Nahitaji demu kwa ajili ya mizagamuano kuanzia umri wa miaka 35 mpaka 60 aliyeko Dar
 
Humu wakaka wote ni over 30 looh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Kipind mpo kwa 20s mlikua mnampango gani na mapenzi ,mnasumbua jua linazama ,

Mkaka at his 30 na bado hana mchumba i see there is a place something is wrong with him

eniwei goodluck y'all, GOD got you 😍
 
wanataka huruma zenu

namimi nikifisha 30s nije nitangaze nia kwa wadada wa jf
hivi kuna watu humu hua wanapata wachumba kweli??
 
Labda jaribu utuletee mrejesho 😃
ikifikia hatua ya kutangaza humu manaake wale unaoishi nao kila siku hawakuvutii au inakuwajekuwaje hapo??
wadada wa jf hamuweki id zenu sa mtu unaanzaje kutangaza nia mbele ya id fake!!
 

Kwa hiyo tusitafute au?
 
Mwanume over 30 kutokuwa na mchumba sio ajabu coz mahusino huvunjika kilasiku unaweza kuwa na mchumba leo kesho tu ukamka uko single
 
Mwanume over 30 kutokuwa na mchumba sio ajabu coz mahusino huvunjika kilasiku unaweza kuwa na mchumba leo kesho tu ukamka uko single
Ni kweli lakin inafikirisha, kwann aamke tu leo kesho yupo single?

Something isn't okei, kubali kataa
 
Ni kweli lakin inafikirisha, kwann aamke tu leo kesho yupo single?

Something isn't okei, kubali kataa
Kesho leo Ni mfano elewa hoja mapenzi hufa kilasiku pili jua mapenzi sio suala lako binafsi tunni suala la watu wawili wewe binafsi unaweza kuwa na mtu ukamjari kwa kilakitu still akakuacha, kukusariti, kwenda kwa mwengine, kufariki Dunia factors nyingi nyingi zinakufanya uwe single tena so Kama unaona jamaa Happ kaeleza Wana muda kadhaa amekuwa royal kwake wamefikia hatu za mwisho kufunga ndoa mwenzie kavunja penzi so ni jambo la kuomba Mungu tu kuendela kuwa na uliyenaye kutokuwa na mpenzi serious sio ujinga mapenzi sometimes nayafananisha na suala la Ajira
 
01 ) STATUS : MWANAUME
Kazi: Mfanya Biashara
Elimu: Masters in Computer Sciensi
Umri: Miaka 32
Aset: Unspecified
Phone no: 0675279474

02 ) Anae Hitajika na Mke Mtalajiwa
Kazi:
yoyote
Elimu : Yototte / ajitambue
Umri : 20-40
Aset : Non-
 
01 ) STATUS : MWANAUME
Kazi: Mfanya Biashara
Elimu: Masters in Computer Sciensi
Umri: Miaka 32
Aset: Unspecified
Phone no: 0675279474

02 ) Anae Hitajika na Mke Mtalajiwa
Kazi:
yoyote
Elimu : Yototte / ajitambue
Umri : 20-40
Aset : Non-
 
Safi sana mkuu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…