Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kumbe nilijua vijana tuUnakaribishwa pia PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nilijua vijana tuUnakaribishwa pia PM
Sina huoni ninavyosikitikaUna kadi ya chama?
wanataka huruma zenuHumu wakaka wote ni over 30 looh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kipind mpo kwa 20s mlikua mnampango gani na mapenzi ,mnasumbua jua linazama ,
Mkaka at his 30 na bado hana mchumba i see there is a place something is wrong with him
eniwei goodluck y'all, GOD got you 😍
Labda jaribu utuletee mrejesho 😃wanataka huruma zenu
namimi nikifisha 30s nije nitangaze nia kwa wadada wa jf
hivi kuna watu humu hua wanapata wachumba kweli??
ikifikia hatua ya kutangaza humu manaake wale unaoishi nao kila siku hawakuvutii au inakuwajekuwaje hapo??Labda jaribu utuletee mrejesho 😃
Humu wakaka wote ni over 30 looh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipind mpo kwa 20s mlikua mnampango gani na mapenzi ,mnasumbua jua linazama ,
Mkaka at his 30 na bado hana mchumba i see there is a place something is wrong with him
eniwei goodluck y'all, GOD got you [emoji7]
Mwanume over 30 kutokuwa na mchumba sio ajabu coz mahusino huvunjika kilasiku unaweza kuwa na mchumba leo kesho tu ukamka uko singleHumu wakaka wote ni over 30 looh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kipind mpo kwa 20s mlikua mnampango gani na mapenzi ,mnasumbua jua linazama ,
Mkaka at his 30 na bado hana mchumba i see there is a place something is wrong with him
eniwei goodluck y'all, GOD got you 😍
Ni kweli lakin inafikirisha, kwann aamke tu leo kesho yupo single?Mwanume over 30 kutokuwa na mchumba sio ajabu coz mahusino huvunjika kilasiku unaweza kuwa na mchumba leo kesho tu ukamka uko single
Kesho leo Ni mfano elewa hoja mapenzi hufa kilasiku pili jua mapenzi sio suala lako binafsi tunni suala la watu wawili wewe binafsi unaweza kuwa na mtu ukamjari kwa kilakitu still akakuacha, kukusariti, kwenda kwa mwengine, kufariki Dunia factors nyingi nyingi zinakufanya uwe single tena so Kama unaona jamaa Happ kaeleza Wana muda kadhaa amekuwa royal kwake wamefikia hatu za mwisho kufunga ndoa mwenzie kavunja penzi so ni jambo la kuomba Mungu tu kuendela kuwa na uliyenaye kutokuwa na mpenzi serious sio ujinga mapenzi sometimes nayafananisha na suala la AjiraNi kweli lakin inafikirisha, kwann aamke tu leo kesho yupo single?
Something isn't okei, kubali kataa
Pande zipi bestKumbe kuna mambo mazuri humu,
Natafuta mchumba na mimi[emoji847]
Na kuzoom tu😕Kumbe kuna mambo mazuri humu,
Natafuta mchumba na mimi[emoji847]
Safi sana mkuuKesho leo Ni mfano elewa hoja mapenzi hufa kilasiku pili jua mapenzi sio suala lako binafsi tunni suala la watu wawili wewe binafsi unaweza kuwa na mtu ukamjari kwa kilakitu still akakuacha, kukusariti, kwenda kwa mwengine, kufariki Dunia factors nyingi nyingi zinakufanya uwe single tena so Kama unaona jamaa Happ kaeleza Wana muda kadhaa amekuwa royal kwake wamefikia hatu za mwisho kufunga ndoa mwenzie kavunja penzi so ni jambo la kuomba Mungu tu kuendela kuwa na uliyenaye kutokuwa na mpenzi serious sio ujinga mapenzi sometimes nayafananisha na suala la Ajira
Na socialize [emoji848]Na kuzoom tu[emoji53]