Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Age: XMV
Tribe:Shangan
Education: 3 DiplomAs Entomology, Meat Hygiene, sex grade 1.
Nyumba 2 zipo
Location : NYARUHANDE
PESA : ZIPO DAILY LAKINI SIYO BLN
NAHITAJI MCHUMBA OF BTW 25 - 32AGE ASIWE MNENE BALI TAKO LIWEPO
OTHERS: NILISHATHIBITIKA KUWA NINA PERMANENT KINGA DHIDI YA CORONA 19
NJOO PM


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe unaleta mchzo kwenye Uzi serious
 
umri:24
kazi:dereva piki piki,gari na bajaji
kabila:mchaga
elimu:4m4
wasifu:mnene kiasi mbavu,
rangi:metailk black.
dini:muislam
nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na relax.sana

sifa za bidada
umri:20to27
rangi:yoyote
umbile:asiwe mnene wala mwembamba
elimu:yoyote
dini:muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri :32
Elimu: diploma
Kazi:Sina
Uraia 😀R.congo
Jinsia: m
Dini : mkristo

Mlengwa

Umri: 16-25
Elimu: yeyote Ile
Dini: mkristo
Asiwe single mother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndugu Manifestation
mkuu ni sahihi kabisa jf ina watu wakarimu sana.

infact nimem pm huyu mkuu wangu naona bado yuko busy na majukumu.

kama atapatikana mtu wa kunidhamini kwa hili nitashukuru sana!

wakazi wa Dar wenye 'moyo' wa kusaidia naombeni msaada wa hifadhi tafadhali
 
Jina😱mary kitonga.
Sex:Male.
Elimu:degree in automobile engineer(sijaajiriwa ila nafkiria kujiajiri).
Rangi:mweusi kdgo.
Dini:Islam.
Naishi:Mburahati (Dar es salaam)
Contacts:0683692750
Weakness:i care too much.
Why nahitaji mwenza?:nlikua katika uchumba na mwanamke kwa miezi 3(january 2019-march 2019)..uvumilivu ukamshinda kutokana namie kutopata kazi..Nahitaji sana wa kuanza nae hata friendship kwania ya kuoana baadae..and niko serious 100%.
VIGEZO VYA MHITAJIWA
1.Awe dini yoyote.
2.Awe mvumilivu(i mean it).
3.Awe na umri wowote ule usiozidi miaka 32,to me age is just a number.
4.Rangi yoyote ile(natural) ila asijichubue.

NB:NIKO SERIOUS WAKUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wngu 26

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…