Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Nashukuru sana tena kwa mara nyingine
Lakin mkuu ngoja nione watakaponipangia, nitakuja tena tuongee!

Kuhusu cost comparison, nitalifanyia kazi hili suala maana Dar kuna kupanda gari hata mara 2 mpaka ufike site

Umenifadhili sana boss wangu!

Mungu azidi kukupa moyo wa kusaidia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukija dar tuonane mkuu, au njoo pm
 
Age:27
elim:diploma in business administration
Kazi: sina( guaranteed kupata within 3 months)
makazi:dsm
Dini:sina

Mke
Age:20-24
Dini:yoyote
Elim: kuanzia form4
Kabila:lolote

Face to face interview itatoa uamuzi wa mwisho.
Tutakaa mwaka kwenye mahusiano kwanza
 
Baada ya kuleta Uzi Huku WA kuvutana ndani, napendwa kutoa mrejesho kuwa nimepata nilichokuwa nahitaji na zaidi ya matarajio, nimepata mwanamke mzuri Kwa urembo na kichwani, anajua kujali, kupenda na kuheshimu...Kwa hakika jamii forum imejua kukifurahisha......Kwa wengine ambao MNA mrejesho mnaweza kuutoa pia, Kwa hakika jamii ni kiwanda cha kila kitu. Muwe na jumapili njema.
Wow!,congratulations na mufike mbali amin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri:27-30

Rangi:mweupe

Kazi:nimejiajiri

Elimu:degree holder/agriculture engineer by professional


Assets: nyumba tatu za kisasa nimezipangisha, hotel moja mwisho wa reli kigoma,bar kubwa tatu moja dar mbili Moro ambapo nalewa Mimi na kuwapa watu ofa
Mashamba matatu nalima na trekta mbili za kazi nakodisha

Gari zpo ila hautatumia hata kimoja nilichotaja sababu natafuta mmoja for breeding purpose tu [emoji3][emoji16]na Mimi nipate ka offspring maana sina hata wa kusingiziwa

Anaetafutwa

Awe na bonge moja la chura kama sanchi au kama hana awe nalo la kawaida kama mbunge poshy queen

Umbo size 8 kama model corazona wa Kenya black beauty flani kama warembo wa Sudan kusini atapewa kipaumbele mweupe sawa

Elimu :kidato cha nne kuna possibility ya kuendelezwa kama utaenda sawa na mkataba

Dini yeyote coz sina mpango na wewe Nina mpango na mtoto nikipata a beautiful daughter utapata a half of my unknown property according to mkataba na sahau kuhusu mtoto atakuwa sio wako tena ni wangu

















Bila shaka utakuwa umejichosha kweli kusoma nilichoandika mwenzako siko serious na nilichoandika hapo juu nilikuwa najaza komenti tuu huu Uzi umepoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi sifa labda ukienda Sayari ya Mars mlevi, afu pombe mixer mibange siyo mizuri,yaani nimekuja speed kumbe unazingua[emoji850]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri : 31
Kazi : Mwajiliwa serikalini
Elimu : Degree holder
Dini : Roman Catholic
Wasifu wangu: Mrefu,Mtanashati.
Jinsi:Me

Anayetafutwa:
Umri:23-27
Kazi:Mwajiliwa/ Mjasiliamali
Elimu:Kuanzia kidato cha 6 mpk University
Dini:R.C
Wasifu:Awe mrefu,rangi yeyote,anayejipenda,chura itakuwa (added advantage), awe mwelewa mwenye akili ya maisha.
Awe tayari kupima magonjwa yote hatarishi.
Kama uko tayari karibu Inbox


Sent using Jamii Forums mobile app
Tufikirie basi na siye K.K.K.T ,afu punguza na hiyo chura as added advantage sasa[emoji19]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom