Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Jina:moj6
Umr:26
Education: degree ya med virology
Height:tallest man in Africa
Colour,'rangi ya kichaga

Natafuta demu aliyeopo S.A,marekani au Qatar
Awe mweupe,english figure ,under 30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaolewaje na mlevi bibie mashosti watakucheka

Sent using Jamii Forums mobile app
Weee mashosti??, Nafata moyo wangu unachokipenda, nishindwe kuenjoy maisha na mlevi wangu sababu ntachekwa na mashosti hell nooo, ulevi wako naujua mwenyewe [emoji7]

Tena walevi ni wasweet sana, wako peace sana,si watu wa magomvi

Ila kasoro ni kwamba naskia wakinywa, pombe huwa zinakimbilia kichwa cha chini, so kuuza mechi nje nje[emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezomchezo 40...hiyo..[emoji85][emoji23]
Weee mashosti??, Nafata moyo wangu unachokipenda, nishindwe kuenjoy maisha na mlevi wangu sababu ntachekwa na mashosti hell nooo, ulevi wako naujua mwenyewe [emoji7]

Tena walevi ni wasweet sana, wako peace sana,si watu wa magomvi

Ila kasoro ni kwamba naskia wakinywa, pombe huwa zinakimbilia kichwa cha chini, so kuuza mechi nje nje[emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuuza mechi ata ambaye sio mlevi anaweza

sio ulevi ni kasumba ya mtu [emoji3]tu

Back
Top Bottom