Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Age:28
Education level:graduate's
Sex: male
Religion: Christian
Marital status: single with no children's
Physical appearance: black, 5"+ inches height
Location: Songea - Ruvuma
Occupation: self employed

WIFE PARTICULARS
Age: 18<=X<=26
Location: any location
Occupation: any
Physical appearance: any height but white/chocolate colored.
Education level: 3R +
Religion: any

NB: ANY ONE'S WHO INTERESTED PM.
 
jinsia---me
umri-- 50yrs
kabila-- muha
hela-- sina (tutatafuta wote)
makazi--- nimepanga room moja

ninayemtaka. awe kama huyu.

1586834708114.png


1586834803705.png
 
Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini.

Kiufupi nina kiu kubwa sana ya kupata mke kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza familia. Nishajipanga kimaisha na kisaikolojia.

Nina akili timamu na ninafahamu kuwa mwenza wa maisha anapatikana popote pale, tena nawashukuru waliotuletea platfom hii kutusaidia sisi ambao hatupati fursa hizi sehemu nyingine kwa sababu mbalimbali.

WASIFU WANGU
Jinsia; Me
Umri; Miaka 34
Kazi; Nimejiajiri pia nimeajiriwa
Elimu; Masters in Finance and Investment
Dini; Mkristo LC
Makazi; Dar Es Salaam

Mengineyo
Nina mwili wa wastani mrefu kiasi kimo futi 5 inchi 10, uzito kg 72. Sura ya kawaida na nina bald head( uwalaza)

Ni husband material kwa kwel, napenda sana familia, kujituma na kuwekeza ili kujiletea maendeleo


WASIFU WA NINAEMHITAJI

1. Umri awe miaka 25-30
2. Elimu angalau diploma
3. Kazi; Awe ameajiriwa/Kujiajiri. Ila hata kama hana kazi kwa sasa, nitamtafutia shughuli ya kufanya maana naamini katika kazi.
4. Dini; Napenda awe mkristo hususani dhehebu la LC, RC, au pentecoste
5.Makazi; Dsm, au awe tayari kuja kuishi Dsm
6.kabila; napendelea zaidi wa nyanda za juu kusini maana mmi ndio napotokea.
7. Awe na umbo la wastani, kama ni mnene asiwe mnene kupita kiasi

Mengineyo
Napenda mwanamke anaejitambua na anaejua wajibu wake kama mama wa familia

Napenda mwenye kiu ya maendeleo, asiwe mtu wa tamaa.

Napenda pia awe mshauri na mwenye kuona mbali kupitia ya leo(mwenye maono)


Nawakaribisha wenye nia. Karibuni


MAWASILIANO; PM YANGU IPO WAZI HADI NITAKAPOFANIKIWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri kaka
 
KWANI MLETA MADA HUU UZI NI WA WANAUME PEKE YAO?
Kwani umu kuna wanaume tu? Mbona wanawake siwaoni? Nyie wanawake mnaojiita single mother kwani hamuhitaji wanaume? Au mnasubiri wanaume wapost apa nanyi ndo mje kuwalenga haohao?
 
umri;22
kazi~sijapata bdo
Elimu:cert :information technology
makazi😀ar
dini:muislam
rangi mweusi
no yangu 0628587578

sifa za mke
umri :18~35
elimu :yyto
dini:yyte


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom