Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Natafuta Mke.

Umri 30
Elimu Bachelor Ya Civil Engineer
Kazi TBA (Mkoa X)
Dini Mkristo (Mlokole)

Mwanamke Yeyote yule aliye seriously na Maisha.
Sina Mtoto.

NB:Single Mama Watapewa Kipaumbele.
Hongera kwa kuwajali single mother
 
Mi sioni mirejesho kabisaaa. Au ndo mnamalizana mumo kwa mumoooo. Mlete jmn , maana Kuna ombi moja nimevutiwa nalo nalizoom tu nasubiri mirejesho Ili nami nimvutie waya pm [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom