Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Jina. mzee noninale mbitiyapi ng'waniihtako
Umri miaka 78
Kazi. Uchawi/Uganga
Mahali. Gamboshi Bariadi

Natafuta wa kubadilishana nae dawa. Za Samba au Ndagu
 
Makambako mitaa ya Magegere,mimi ni " me" natafuta "ke" njoo inbo
 
Dini: mkristo
Elimu: degree
Urefu 172cm
Kazi: mlinzi wa taifa..
Sina mtoto wala sijwahi kuoa..
Umri miaka 30
Mwanamke ninae mtaka awe na..
Umri: wowote
Hata kama ana mtoto basi awe mmoja
Rangi yoyote..
Awe na shughuli yoyote..

Kwa ulio serious njoo pm tujenge maisha mke wangu
Hapa unaweza kujipeleka mwenyewe aisee.

Evelyn Salt 172 cm unaijua wewe?

Mlinzi wa taifa unamjua wewe au unamjua sabaya tu?
 
Sifa zangu
Umri:28
Elimu:Masters of science in Cyber security and Digital Forensic
Kazi : soldier & lieutenant
Makazi :dar & Moshi
Dini:Mkristo & msabato
Kabila:Mnyakyusa & mweusi fran ivi na mwembamba ila nitanenepa mda wowote ule
Sifa za mke
Dini: Mkristo lakini msabato atapewa kipaombele
Kazi:awe mchapa kazi ,mweupe,mnene kiasi asiwe mrefu sana ,shepu shepu napenda tako ,msafi na mzuri
Umri:20-25
 
ndugu usituahidi utanenepa tujitose afu hola.

Tuje kukarangiza hadi kware, wapi, ndugu hunenepi.

Ungeandika kunenepa ni majaaliwa hapo.
 
Sifa zangu
Umri:28
Elimu:Masters of science in Cyber security and Digital Forensic
Kazi : soldier & lieutenant
Makazi :dar & Moshi
Dini:Mkristo & msabato
Kabila:Mnyakyusa & mweusi fran ivi na mwembamba ila nitanenepa mda wowote ule
Sifa za mke
Dini: Mkristo lakini msabato atapewa kipaombele
Kazi:awe mchapa kazi ,mweupe,mnene kiasi asiwe mrefu sana ,shepu shepu napenda tako ,msafi na mzuri
Umri:20-25
Soldier $ lieutenant
 
kama mzuri ila huna shepu ama tako humtaki[emoji1787][emoji1787]
 
Dini: mkristo
Elimu: degree
Urefu 172cm
Kazi: mlinzi wa taifa..
Sina mtoto wala sijwahi kuoa..
Umri miaka 30
Mwanamke ninae mtaka awe na..
Umri: wowote
Hata kama ana mtoto basi awe mmoja
Rangi yoyote..
Awe na shughuli yoyote..

Kwa ulio serious njoo pm tujenge maisha mke wangu

kwa huo urefu nimekosa mume mimi ni kafupi si utanikoa makonzi kichwani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dini: mkristo
Elimu: degree
Urefu 172cm
Kazi: mlinzi wa taifa..
Sina mtoto wala sijwahi kuoa..
Umri miaka 30
Mwanamke ninae mtaka awe na..
Umri: wowote
Hata kama ana mtoto basi awe mmoja
Rangi yoyote..
Awe na shughuli yoyote..

Kwa ulio serious njoo pm tujenge maisha mke wangu
Mlinzi wa taifa ndio kazi gani?
 
Umri:30
Elimu:stashahada
Makazi:dar
Kazi:mtumishi wa umma
Nimejenga Nyumba kubwa ina kila kitu tatizo upweke nipo naishi na mfanyakazi tu
Karibu.
Mbona umesahau kutuambia jinsia, au wewe ni bisexual.
 
Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba, kwa mpalange lazima.
 
Back
Top Bottom