Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri miaka 40
Kazi: Afisa Usalama
Dini :Islam
Utaifa : Mzanzibar
Marital status : Nina mke mmoja ila nataka kuongeza mke wa pili
Naishi Mkoa wa DSM Tegeta
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu , mchangamfu, mpole , mnene, mwembamba..

Mhmm!! Diaspora USA ila unaishi Tegeta?[emoji23][emoji23][emoji23] mnatuchanganya sasa waolewaji
 
Umri: 35 yrs
Kazi: mfanyabiashara+ mtumishi
Elimu : degree + master in public health
Location : kimara (DSM)
Dini : Muslim
Sifa za mke
Umri :23-29 yrs
Kazi : awe nayo asiwe nayo ntamuweka sawa
Elimu : angalau kidato cha nne onwards
Location : popote anapotoka
Dini :yoyote ( kama mkiristo ndoa ya kiserikal itafuata mkondo)
Karibuni kwa wahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji12] Majaribu haya
Vipi mkuu ushapata mke?
 
We ni mbea [emoji28][emoji28][emoji28]mpenzi mmoja hatoshi we nae

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bff nimeona comment yako nimecheka sana!! Bro anajimaliza kwako wewe uko busy huku unatafuta wa kukuoa
 
We kanyau kweli ushanichongea huko halafu unakuja kunipampu hapa nitakuzibua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bff sorry
Umbea huu nitapigwa ipo siku
 
Nitakuwa sikutumii rozali shenzi weeee[emoji1787][emoji1787]

Usifanye hivo bff wangu, mwenzio sijawahi kuvaa gold [emoji12]
Puliiiizzz niletee hiyo rozali ya gold maombi yafike kwa haraka tushone lace, tucheze amapiano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usifanye hivo bff wangu, mwenzio sijawahi kuvaa gold [emoji12]
Puliiiizzz niletee hiyo rozali ya gold maombi yafike kwa haraka tushone lace, tucheze amapiano [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya utume details zako kuleee au kaka wa dukani ataipokea
 
Back
Top Bottom