Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Mimi nafanana na Mama Getruda Mongela wengine wananiambia eti nafanana na Gaudensia Kabaka wengine wananiambia eti nafanana na Rais mstaafu wa Kenya Moi. Wenye picha zao tafadhali.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakufa mm jaman...hahahahahaha hapa nimecheka jaman..khaaa mm naambiwaga nimefanana na first lady wa zenji.. i mea mke wa Shein ..had mapigo tunapiga mapigo sawa au na mke wa mzee kibaki yule alofariki..alikua mtΓ ta kwa wanahabariπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…