Uzi Maalum wa kuweka Picha ya mtu mnaefanana:

Mimi nshawahi simamishwa na mdada full tabasamu nakunikumbatia ghafla gari likaja akaniachia 10000 kadandia gari kanambia tutawasiliana kaishia hadi leo sijawahi muona tena sijui nafanana na nan?
 
Walikudanganya wewe unafanana na Steven wasira
 
Huyu ndiye pacha wangu, ukiniona utafikiri ndiyo huyu jamaa, japo kwa sasa amezeeka,Picha zake alivyokuwa kijana ni copyright, kuna watu mpaka sasa unaniita Mkapa.
 

Attachments

  • 1536817641282.png
    20.6 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…