Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA


Calculator yenu ya tra, inatoa makadirio based on Cif, ambazo hata ukiangalia pale zinakuwa juu kuliko bei halisi sokoni, hii ya kusema mnaenda kidogo chekundu kuangalia bei za magari unaitoa wapi?

Mind you sio kila mtu ananunua gari ili aiuze wengine ni kwa matumizi binafsi tu na hawana hulka ya kuuza, hata kama hilo lingekuwa sahihi, bei ya brevis na alteza za mkononi saa hizi zipo down low ukiwa na milioni 6 unapata gari kali tu, unataka kuniambia Tra , wameshusha kodi kwa magari hayo sababu mitaani bei imeporomoka?

Unafahamu kuwa baada ya malalamiko kodi ya baadhi za gari zimefanyiwa review kwenye hiyo calculator, ? Tena kwa kupunguza tu Cif value ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukishaanza kutumia umri kwenye argument kama hizi ni tatizo ,
Inaonekana wewe ni typical Tra attendant, rigid majivuno na quite possibly hushauriki,

kama ni kweli hamfati thamani ya kitu kikiwa nje mbona mnaatumia Cif kwenye calculation zenu? , Mbona kama invoice ya mteja ipo juu kuliko yenu huwa mnaamua kutumia invoice na si calculator tena?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama ni kweli hamfati thamani ya kitu kikiwa nje mbona mnaatumia Cif kwenye calculation zenu? ,

KIKOKOTOO cha TRA hiki hapa

Ni wapi wanapouliza bei yako umenunua Japan shiiing ngapi ????


They couldn't care less if you got it for free!

Hawajali kama ulilipata bure!

Tax code is just not written that way.

Mbona na wewe - kama mimi - hushauriki na una majivuno ?????
 
Ok sawa, hapo nyie Tra mnaniuliza nimenunua gari gani , model gani,lipo wapi , la mwaka gani , linatumia mafuta gani na ukubwa wa mjini ni upi?

Hapa ni nyie na majibu yenu , na hii hapo ni baada ya marekebisho , ushuru wa hiyo gari kabla ya malalamiko ulikuwa ni karibu milioni 20 kama umeniona vizuri cif mnejiwekea tu wala hamjajadiliana na mteja mie , ila kama ikitokea invoice yangu ni kubwa kuliko hiyo ya kikokotoo chenu , mtahamisha magoli na mtaachana kabisa na kikokotoo chenu
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Weka hapa bili ya milioni ishirini kwa SUBARU EXIGA
 
Ushuru unapimwa kwa thamani ya bidhaa ikiwa mtaani Tanzania.

__wanajuaje thamani ya hiyo bidhaa ikiwa nchini?,
--kifungu kipi Cha sheria ya Kodi kimesema hivyo
 
Kama hicho ndo kikokoto Basi Hapa Kuna Jambo haliko sawa,,Sasa unakokotoa vipi kwa kuweka information Kama gari inatumia mafuta gani,ya mwaka gani,cc ngapi?
Kwanini hawaulizi Bei ya kununulia?
 
Kama hicho ndo kikokoto Basi Hapa Kuna Jambo haliko sawa,,Sasa unakokotoa vipi kwa kuweka information Kama gari inatumia mafuta gani,ya mwaka gani,cc ngapi?
Kwanini hawaulizi Bei ya kununulia?
Ndio huu wizi Wa waz waz bila hata aibu kwann wasiulize umenunua shngapi? Wao wanadili na vitu vingne?
 
Tukirudi kwenye bizaa ni 18% wanakata Mzee sasa alitaka anibambike ef 35 kivipi?
 
Posta, TRA hawajaanza kuwepo leo, kitambo tu...

Kukaguliwa ni kitu cha kawaida, ila ukiingia kwenye kumi na nane zao, wanakupiga haswa alafu pesa zinaenda mifukoni mwao...



Cc: mahondaw
 
__wanajuaje thamani ya hiyo bidhaa ikiwa nchini?

Ni kama ambavyo Benki Kuu wanajua thamani ya kilo ya mchele, njegele au ndizi. Mahakama ya Ndizi Mabibo wakienda wanapata bei ya jumla, wakija hapa Toa Ngoma Kisemvule wanapata bei ya reja reja, halafu wanapanga mipango ya uchumi.

Thamani ya gari inapimwa ikiwa barabarani MAKAMBAKO, na sio kwenye yadi NAGASAKI.
 
Kwani hilo subaru wakati linauzwa halilipiwi kodi, Kwanini mnapiga thamani ya kuuzwa ikiwa bado halijauzwa na likiuzwa kunakuwa
na kodi tena.
 
Sehemu kubwa uko sawa.
Hili la bei ya bidhaa(prevailing price) ni la mwisho mwisho.
Waambie tu tayari brackets zimeshawekwa kwa kila bidhaa na makadirio yake.
Pia wasisitizie tena kuwa wakisema kodi kwa bidhaa zinazoingizwa nchini ziangalie bei ya kununulia ,tutapotezana kuna vitu vya bure vitakuwa charged vipi?
Hako kakifaa ka mwamba jamaa aliacha tu kwa sababu ya kutojua kwa haraka au aliona katamchosha kujua kanaangukia katika group la bidhaa gani katika HS Code.
Mwisho suala la kodi ni kitu moja iko ki janja janja dunia nzima.Na mamlaka ikiweka vitu actual inapigwa bao fasta.Mfano kama ukitengeneza chombo chenye muundo wa bajaji na kikawa na 1500CC, je tuitreat kama gari au bajaji?(Walipa kodi sisi ni wajanja sana na mamlaka zinajitahidi kuwa janja zaidi,lakini tunaevolve mapambano yanaendelea)
WAKUU NDUGU YETU YUPO SAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…