t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Cost and Freight ya Subaru lako umetumia mil 5/=
Halafu likishafika Tanzania ukitaka kuliuza utauza shiing ngapi, milioni 6 ???
Unafikiri TRA wajinga hawajui bei ya Subaru mtaani?
Again and again, thamani ya mzigo haipimwi kwa bei ya mitaani YOKOHAMA
TRA wanaenda na bei za magari KIDONGO CHEKUNDU
Tuzijue kwanza sheria za kodi ndio tutaweza kuzipinga vizuri
Calculator yenu ya tra, inatoa makadirio based on Cif, ambazo hata ukiangalia pale zinakuwa juu kuliko bei halisi sokoni, hii ya kusema mnaenda kidogo chekundu kuangalia bei za magari unaitoa wapi?
Mind you sio kila mtu ananunua gari ili aiuze wengine ni kwa matumizi binafsi tu na hawana hulka ya kuuza, hata kama hilo lingekuwa sahihi, bei ya brevis na alteza za mkononi saa hizi zipo down low ukiwa na milioni 6 unapata gari kali tu, unataka kuniambia Tra , wameshusha kodi kwa magari hayo sababu mitaani bei imeporomoka?
Unafahamu kuwa baada ya malalamiko kodi ya baadhi za gari zimefanyiwa review kwenye hiyo calculator, ? Tena kwa kupunguza tu Cif value ?
Sent using Jamii Forums mobile app